Recent content by Zapatero

  1. Z

    Naona kama mke ananikwamisha

    Binafsi Naona Mke ndio amekuokoa. Kwanini usitumie nyumba kama dhamana, ukope bank ufanye hiyo biashara? Au ni Hadi uuze ndio hiyo biashara inafanyika?
  2. Z

    PreGE2025 Umuhimu wa Kila Mwananchi Kushiriki Katika Kudai Mabadiliko ya Mifumo yetu ya Uchaguzi

    Habari za Leo Wanajukwaa Wenzangu. Nimewiwa kuleta kwenu Mada hii baada ya kufwatilia kwa kina Mwitikio wa Wananchi katika Kudai Mabadiliko ya Mfumo wa Uchaguzi. Katika Ufwatiliaji Wangu, nimegundua yafuatayo:- 1) Kutokana na Hali ya Mambo Ilivyo, Wananchi Wengi Wana Kiu Kubwa ya Kuona...
Back
Top Bottom