Napenda kutowa malalamiko yangu kuhusu nyie TANAPA mnavyowasumbua Tour Operators kwenye maswala ya malipo wakati wanapotaka kuwapeleka watalii kwenye mbuga zenu za wanyama au Kilimanjaro.
Kwanza muelewe kwamba kupata hao watalii ni kazi kubwa mno na tunatumia gharama kubwa pia. Pamoja na...
MFANYABIASHARA maarufu jijini Arusha,Vicky Laurent Mcharo(40)Mkazi wa Sakina jijini Arusha,amefikishwa katika Mahakama ya mwanzo Maromboso akikabiliwa na kesi tano za Utapeli na kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu zaidi ya milioni 35.
Mfanyabiashara huyo alipandishwa kizimbani mapema leo...
Mbunge wa Simanjiro James Ole Millya,kuhamia Chama cha Mapinduzi muda wowote kuanzia sasa. Millya ni miongoni mwa wabunge wa Upinzani wenye ushawishi kanda ya kaskazini kutokana na uzoefu wa siasa za kanda hiyo.
Kuna Taarifa tunaendelea kuzifatilia zinasema Mbunge mwingine wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema Ameshafikia Bei La fungu na Mandalizi ya Mwisho yanaendelea na Ndani ya siku Saba kwanzia Leo atatimkia CCM
Tunaendelea kufatilia Tutawajuza nini Kinaendelea
HIVI VITA YA KIUCHUMI NI KU ELIMINATE,KAULI ZA VITISHO,KUINGILIA UHURU WA BUNGE,MAHAKAMA NA FREEDOM OF SPEECH?
Wote ni mashaidi kuwa Rais amekuwa akitoa kauli zenye utata na nyingi sijui kwa faida ya nani?.
Rais alitoa kauli kuwa kuna mtu alikuwa akijipatia million 7kila baada ya dakika...
Kada maarufu na aliyewai kugombea ubunge kwenye kura za mchujo kupitia Chama Cha Mapinduzi jijini Arusha Thomas Munisi ambaye kwa sasa ni Mwenyekiti wa kata ya Themi jiji la Arusha ameingia kwenye kashfa ya kubaka mtoto ambapo habari zinasema tukio hilo lilitokea maeneo ya KIA na Mererani na...
Katika hali ya kutafuta ukweli kuhusu Mkurugenzi kuvuruga kikao cha jana, ilinilazimu kuwatafuta madiwani kuwahoji kwanini kulitokea sintofahamu?
Baadhi ya madiwani niliohojiana na waliomba nisitaje majina yao hadharani walisema yafuatayo;
Mkurugenzi na bwana yule wa Wilaya na Mkoa wana...
Kwa siku mbili: - 12- 13 Oktoba, Mstahiki Meya wa Jiji la Arusha Mh Kalisti Lazaro akiambatana na Katibu wa Kanda ya Kaskazini Mh. Amani Golugwa na Wafanya biashara wa Arusha wapatao 15 walikua na ziara muhimu jijini Nairobi, Kenya.
Wakiwa Nairobi, waliweza kukutana na Gavana wa Nairobi Mhe...
Kwanzia Kesho Mbunge wa Arusha Mjini Atakuwa na Mikutano ya hadhara kwenye kata zifuatazo ratiba hii ni endelevu kwenye kata zote za jiji la Arusha Mjini tutawaletea jinsi tunavyopata
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.