Who is responsible under MAKINIKIA
Kwa nionavyo hapa katika jambo hili la huu Mkanganyiko uliopo sasa kati ya Serikali na wawekezaji kuna watu ambao Direct wanatakiwa wajiwajibishe wenyewe kabla hawajawajibishwa
1...Makatibu wakuu wote walio wahi kuhudumu katika katika Wizara hiyo Tangu mwaka...
Japokuwa Mh.Rais kafanya maamuzi hayo tunatakiwa kujirudi upya tuanze kuangalia kwenye Mikataba yetu ya Madini isije ikawa kama Yale ya DOWANS,IPTL,SAMAKI WA MAGUFULI
Miaka 18 Tumeibiwa
(B.829.4 x 12)18
=B.179150.4
Trilioni 179.15 ukigawa kwa Bajeti yetu ya 29.5 2016/17 utakuta kuna 6 years
Means kwa kiasi hicho cha pesa ni sawa na Bajeti ya Miaka 6 ya Tz hayo ni makadirio ya Chini
Kwakweli tumepigwa sana from 1998 uptodate
KONGOLE MAGUFULI
Sidhan kama napaswa kushambuliwa but nimesema if nmekukwaza u can pass Bila comments ndo maana nimeweka namba ili mtu anitafute kwa phone namba sihitaji Malaya na awe tayari kupima VVU
N kweli mpaka nmekuja huku nimeshafanya tafiti sana na kimsingi nakuwa bze San na kazi sasa nkirudi usiku nakos hata wa kunipa pole nataka hata niwe naandaliwa nyumbani kama hela ninayo lakini kutumia peke angu shida
Kwa kuwa Moja ya kazi za mitandao ni kutuunganisha watu wa aina tofauti tofauti basi nami nitumie Hii nafasi adhimu nilyonayo
Natafuta msichana Mzuri wa sura pamoja na tabia ili niweze kumfanya kama Mke wangu seriously
Niko Mwanza kikazi ila Nyumbnai Iringa naomba yeyote anaeweza kuwa na...
Mpaka Leo Niko hapa Mwanza kuna mke Wa MTU kanitafuta tangu 2015 mpaka Leo na nlikuwa namkwepa lakini 7.5.2017 alinishawishi nikutane naye maeneo ya kwao nlijivunga sana lakini nikajikuta naenda kwa Moja kwa Moja
Nlipofika pale alinipokea kwa furaha sana nami nlionesha ushirikiano lakini baada...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.