CHADEMA acheni siasa kwenye masuala ya kitaifa

TumainiEl

JF-Expert Member
Jan 13, 2010
6,618
12,283
Kiukweli nasikitika sana kile kinafanywa na chadema hasa yanapo tokea majanga. Huu ni zaid yavulimbukeni na ujinga ktk siasa zetu.

Na hii sio mara yakwanza hichi chama kimekuwa kikitumia misiba, majanga, ajali nk ktk kujinufaisha kisiasa. Je, hichi ni chama cha wachawi ambapo wanasubiri misiba na majanga kujinufaisha kisiasa au wanataka kutuambia serikali ya Magufuli inaleta haya majanga hivyo wanaitaji kutuletea siasa ktk mambo yanayogusa maisha ya watu.

Kiukweli inadumbuwa wengi yani hata hatuelewi oneni kile meya arusha anakifanya ni zaidi ya ujinga unaubiri nini na kwa ajili ya nani. Serikali imechukua jukumu kuzika vijana walipatwa ajali nyie mnaleta siasa?
 
-Cheti
-Bashite
-Kulilia Mic Misibani
-Rambirambi

Je hivi vitu kwenye Mbungi la Kampeni vitakumbukwa na Wananchi? Ili wapate Kura angalau 5Million?
 
Aibu ni kula pesa ya wafiwa huku CCM mkibariki kwa mikono miwili.
Wala pesa za rambirambi mna matatizo sana sasa mnaona mkifunga watumishi wa mungu,madiwani wa Chadema ndo mtasafishika?
Gambo kashakuwa kopo mana alijitahidi kutoa pesa clouds wawe wanamuongelea lakini nyota tatizo imegoma..kweli moyo sukuma damu Nipate ujasiri wa kula pesa za wafiwa [HASHTAG]#Shame[/HASHTAG]
 
Kiukweli nasikitika sana kile kinafanywa na chadema hasa yanapo tokea majanga. Huu ni zaid yavulimbukeni na ujinga ktk siasa zetu.
Nahii sio mara yakwanza hichi chama kimekuwa kikitumia misiba, majanga, ajali nk ktk kujinufaishakisiasa. Je hichi ni chama cha wachawi ambapo wanasubiri misiba na majanga kujinufaisha kisiasa au wanataka kutuambia serikali ya Magufuli inaleta haya majanga hivyo wanaitaji kutuletea siasa ktk mambo yanayogusa maisha ya watu.

Kiukweli inadumbuwa wengi yani hata hatuelewi oneni kile meya arusha anakifanya ni zaidi ya ujinga unaubiri nini na kwa ajili ya nani. Serikali imechukua jukumu kuzika vijana walipatwa ajali nyie mnaleta siasa?
Hapana!
Katika hili ni vema tukausimamia ukweli.
Tatizo ni mnajifanya kuwa hamnazo juu ya kile mnachoambiwa.
Suala hapa ni rambirambi za majanga kutumika nje ya malengo yake!
Hayo mengine ni longolongo za kutaka kupotezea.
Hivi mnataraji kumdanganya nani?
 
Kiukweli nasikitika sana kile kinafanywa na chadema hasa yanapo tokea majanga. Huu ni zaid yavulimbukeni na ujinga ktk siasa zetu.
Nahii sio mara yakwanza hichi chama kimekuwa kikitumia misiba, majanga, ajali nk ktk kujinufaishakisiasa. Je hichi ni chama cha wachawi ambapo wanasubiri misiba na majanga kujinufaisha kisiasa au wanataka kutuambia serikali ya Magufuli inaleta haya majanga hivyo wanaitaji kutuletea siasa ktk mambo yanayogusa maisha ya watu.

Kiukweli inadumbuwa wengi yani hata hatuelewi oneni kile meya arusha anakifanya ni zaidi ya ujinga unaubiri nini na kwa ajili ya nani. Serikali imechukua jukumu kuzika vijana walipatwa ajali nyie mnaleta siasa?
Ni ujinga mkubwa sana kushabikia serikali kufurahia majanga kwa raia wake yanayowapata na kuyafanya kuwa chanzo cha mapato yake, lazima wanaccm mkue kifikra muache siasa za kipumbavu kwenye mambo muhimu kama haya yaliyokatili roho za watu na kuacha maumivu makubwa kwa familia za wahanga
 
Kiukweli nasikitika sana kile kinafanywa na chadema hasa yanapo tokea majanga. Huu ni zaid yavulimbukeni na ujinga ktk siasa zetu.
Nahii sio mara yakwanza hichi chama kimekuwa kikitumia misiba, majanga, ajali nk ktk kujinufaishakisiasa. Je hichi ni chama cha wachawi ambapo wanasubiri misiba na majanga kujinufaisha kisiasa au wanataka kutuambia serikali ya Magufuli inaleta haya majanga hivyo wanaitaji kutuletea siasa ktk mambo yanayogusa maisha ya watu.

Kiukweli inadumbuwa wengi yani hata hatuelewi oneni kile meya arusha anakifanya ni zaidi ya ujinga unaubiri nini na kwa ajili ya nani. Serikali imechukua jukumu kuzika vijana walipatwa ajali nyie mnaleta siasa?
Serikali imetoa sh.ngapi kugharimia huo msiba? CCM wameishiwa pumzi wawaache wanaume wachape kazi
 
Kwani siasa ni nini? Makamu wa Rais, Katibu Mkuu wa CCM, Mkuu wa mkoa hao wote si wanasiasa. Halafu masuala ya kitaifa ni yepi hayo yasiyohusisha siasa?
 
Kiukweli nasikitika sana kile kinafanywa na chadema hasa yanapo tokea majanga. Huu ni zaid yavulimbukeni na ujinga ktk siasa zetu.
Nahii sio mara yakwanza hichi chama kimekuwa kikitumia misiba, majanga, ajali nk ktk kujinufaishakisiasa. Je hichi ni chama cha wachawi ambapo wanasubiri misiba na majanga kujinufaisha kisiasa au wanataka kutuambia serikali ya Magufuli inaleta haya majanga hivyo wanaitaji kutuletea siasa ktk mambo yanayogusa maisha ya watu.

Kiukweli inadumbuwa wengi yani hata hatuelewi oneni kile meya arusha anakifanya ni zaidi ya ujinga unaubiri nini na kwa ajili ya nani. Serikali imechukua jukumu kuzika vijana walipatwa ajali nyie mnaleta siasa?
Sio jambo la kitamaduni wa tz kula rambirambi halafu mnataka ukweli lazima usemwe
 
Kiukweli nasikitika sana kile kinafanywa na chadema hasa yanapo tokea majanga. Huu ni zaid yavulimbukeni na ujinga ktk siasa zetu.

Na hii sio mara yakwanza hichi chama kimekuwa kikitumia misiba, majanga, ajali nk ktk kujinufaisha kisiasa. Je, hichi ni chama cha wachawi ambapo wanasubiri misiba na majanga kujinufaisha kisiasa au wanataka kutuambia serikali ya Magufuli inaleta haya majanga hivyo wanaitaji kutuletea siasa ktk mambo yanayogusa maisha ya watu.

Kiukweli inadumbuwa wengi yani hata hatuelewi oneni kile meya arusha anakifanya ni zaidi ya ujinga unaubiri nini na kwa ajili ya nani. Serikali imechukua jukumu kuzika vijana walipatwa ajali nyie mnaleta siasa?
Acha kujitoa fahamu wewe:
1. Ni tabia MBAYA SANA, watu wanachanga waliongukiwa na nyumba zao wapate relief halafu fedha zinapelekwa kwenye utekelezaji wa ilani ya chama...hii ni tabia mbaya sana. Kama sio wewe uliyeleta tetemeko, na sio wewe pia uliyechanga fedha.
2. Ni tabia MBAYA SANA kutumia fedha zilizochangwa kwa ajili ya wafiwa kugharamia chakula cha viongozi walioenda kuuza sura msibani.

Na wewe uache unafiki. Ni kweli serikali inazika vijana, naam hapa uko sahihi, lakini kama unazungumzia marehemu wa Arusha, hao wamezikwa na WALIOCHANGA sio waliokwenda kuweka mafuta kwenye gari ya jeshi.
 
Inaonesha watawala wana katiba ya siri ambayo inawafanya wakuu wa mikoa kuwa
1. Wakusanyaji warambirambi.
2. Wapangaji wa rambirambi ifanye kazi gani.
3. Kukata asilimia kazaa ya rambirambi na kuipeleka serikalini.
Hivyo kwa lugha rahisi wakuu wa mikoa ni "TIMU RAMBIRAMBI TRA"
 
Serikali imetoa sh.ngapi kugharimia huo msiba? CCM wameishiwa pumzi wawaache wanaume wachape kazi
Kiukweli serikali ina figure kubwa sana kwenye michango ya maafa. Ila kwa mujibu wa taratibu za kiuhasibu, hiyo figure ya serikali itaandikwa kwa kutanguliwa na alama hii: -
 
Back
Top Bottom