Recent content by zamuhalelu

  1. Z

    JamiiForums Tanzania Je, sheria kweli ni msumeno? Dkt. Mwinyi awataka Wazanzibari wajitokeze wengi wakampigie kura za ndio tarehe 27 Oktoba

    Kwani hao wanaoenda kupiga tarehe 27 hawatakiwi kumpigia mwinyi? Wanaopiga tarehe 27 hawatakiwi kumpigia maalim? Kama wanaruhusiwa kuwapigia hao kwa nini wasiombe kura?
  2. Z

    JamiiForums Tanzania Kuna ubaya kutoa nywele za katikati ya makalio, katika ule mfereji wote?

    Mkuu kwani unadhani nani anastahiki kuzinyoa?
  3. Z

    JamiiForums Tanzania Kuna ubaya kutoa nywele za katikati ya makalio, katika ule mfereji wote?

    Kama unavonyoa wewe tu zile nywele za chini ya korodani na juu yake... Au kwapani... We itakuwa hujichambi wewe mana kama unaweza kufikisha mkono kwa kujichamba vipi uulize kunyoa
  4. Z

    JamiiForums Tanzania Kuna ubaya kutoa nywele za katikati ya makalio, katika ule mfereji wote?

    Kwa hyo kufuga zile ni usafi au ?? Nimeandika kwa sababu wanaume wengi wamelisahau hili na kuona kama ni uanaume kufuga kumbe sio bali ni katika uchafu ule
  5. Z

    JamiiForums Tanzania Kuna ubaya kutoa nywele za katikati ya makalio, katika ule mfereji wote?

    Bado una akili za kitoto za kukoment Acha nitabasamu tu
  6. Z

    JamiiForums Tanzania Kuna ubaya kutoa nywele za katikati ya makalio, katika ule mfereji wote?

    Pia sio kila kitu lazima usome na kucoment Kisicho lazima kuandikwa sio lazima usome na kukoment....
  7. Z

    JamiiForums Tanzania Kuna ubaya kutoa nywele za katikati ya makalio, katika ule mfereji wote?

    Kwa hyo hata zile za kwapa mkuu haina haja ya kuzitoa ikiwa tutazingatia usafi wa kuziosha vizuri au vipi mkuu???
  8. Z

    JamiiForums Tanzania Kuna ubaya kutoa nywele za katikati ya makalio, katika ule mfereji wote?

    wana jf nadhani wazima mnoo.. Juzi hivi niliandika uzi kuhisu kunyoa nywele za makalio pale kati kati watu wakakoment mnoo wengine wakidhani mimi labda nina element za ushoga . Ila haya yote wana jf tu wala sikuyatilia maanani.... Waliopinga waliweka hoja zifuatazo HOJA ZAO:wanasema hii...
  9. Z

    JamiiForums Tanzania Mkojo wangu hutoka na ute

    Sina UTI
  10. Z

    JamiiForums Tanzania Kwanini kamba za viatu hufunguka?

    Dah ...... Ase a Weka super glue tu
  11. Z

    JamiiForums Tanzania Kuna ubaya kutoa nywele za katikati ya makalio, katika ule mfereji wote?

    We kwa nini unafuga labda ??? Mana tujuzane hapa kinachokufanya ufuge nini??
  12. Z

    JamiiForums Tanzania Kuna ubaya kutoa nywele za katikati ya makalio, katika ule mfereji wote?

    Hoja hii dhaifu mnoo pia nilisahau kuiweka.. Nikuulize Wanawake hizi huwa hawana sasa wavi wanakata na nini??? Au wale ngozi yao ngumu hvyo haiitaji msaada wa nywele zile kisha sisi iwe bila zile nywele ndo mavi hayakatiki?? Tuna ngozi laini inayoshindwa kukata hatamavi sio??
  13. Z

    JamiiForums Tanzania Kuna ubaya kutoa nywele za katikati ya makalio, katika ule mfereji wote?

    wana jf nadhani wazima mnoo.. Juzi hivi niliandika uzi kuhisu kunyoa nywele za makalio pale kati kati watu wakakoment mnoo wengine wakidhani mimi labda nina element za ushoga . Ila haya yote wana jf tu wala sikuyatilia maanani.... Waliopinga waliweka hoja zifuatazo HOJA ZAO:wanasema hii...
  14. Z

    JamiiForums Tanzania Kuna ubaya kutoa nywele za katikati ya makalio, katika ule mfereji wote?

    Na hawana sababu za msingi za kuziacha mpaka ziwe kubwa au vipi mkkuu?
Back
Top Bottom