Recent content by Zamazangu

  1. Zamazangu

    JamiiForums Tanzania Huenda Rais Samia akashinda uchaguzi kwa asilimia 97%. Watanzania walishachoka na Upinzani wa mchongo

    Kama unalolisema ni sahihi chama chako kisingekosa usingizi na kupambana na Lissu. Kuteka wapinzani ni moja ya indication kuwa upinzani una nguvu kuliko chama chako. Kushindwa kukubali kurekebisha katiba na kuwa na tume inayopendelea CCM ni dalili za wazi kuwa chama kimeshindwa kujiamini...
  2. Zamazangu

    JamiiForums Tanzania GE2025 Lissu hapiganii Watanzania anapigania maslahi yake

    Kama haujjavutaa bangi wewe basi akili zako hazikutoshi. Pole sana. Watawala waliojidhania kuwa wao ni miungu siku moja hawakuamini yaliyowakuta. Ni swala la muda tuu
  3. Zamazangu

    JamiiForums Tanzania Tujadili suala la makaa ya mawe, iweje wananchi wa eneo husika wawe masikini ila magari yanasomba tu

    Hii nchi inashangaza sana. Kwani hoja za msingi hatushangilii sana wala kusimamia. Haina afya kwa kweli, kusimamia mambo ya hovyo ni kukiua taifa letu na kuendelea kuwafanya watu wetu kuwa watumwa. Maana ya uhuru tumeshaipoteza. EE MUNGU TUSAIDIE
  4. Zamazangu

    JamiiForums Tanzania Kwenye nchi fulani ya mbali....

    Fasihi yako iko vzri sana, ninahofia kuwa watakaokuelewa watakuwa ni wachache sana.
  5. Zamazangu

    JamiiForums Tanzania Kampeni ya kutakatisha fedha inakuja, ila ipo siku ufisadi wao na matumizi mabaya ya madaraka vitawekwa wazi

    We uliona wapi? Mtu mchafu anakataa hela chafu? Mfumo wenyewe mchafu, mipango michafu? Na hela chafu sawasawa tuu. Hakuna cha ajabu hapoooo
  6. Zamazangu

    JamiiForums Tanzania Kampeni ya kutakatisha fedha inakuja, ila ipo siku ufisadi wao na matumizi mabaya ya madaraka vitawekwa wazi

    Ni swala la muda tuu. Kutokana na mifumo mibovu ya elimu na nature ya upole uliopitiliza wa watz, mpaka kupelekea kuwa makondoo kiasi cha kutoweza kijipigania. Yuko mbinguni Mungu wa haki atatupigania. Siku moja kila mtu atashangaa mifumo yote ya kidhalimu inafelli.
  7. Zamazangu

    JamiiForums Tanzania TANZIA GE2025 Job Ndugai, aliyewahi kuwa Spika wa Bunge afariki Dunia

    Wanavyopenda madaraka hao wewe acha tu. Aliyetakiwa kutangaza msiba huo ni kiongozi wa chama chake au Padre wake wa kigango 😭😭😭😭😭😭
  8. Zamazangu

    JamiiForums Tanzania TANZIA GE2025 Job Ndugai, aliyewahi kuwa Spika wa Bunge afariki Dunia

    Je alik Alikuwa mgonjwa? Aliumwa nini? Lini? Mbona mnatuchanganya Huu mwaka huu, tutaona mengi sana. Uchaguzi huu tutapoteza watu tunaowafahamu sana huu
  9. Zamazangu

    JamiiForums Tanzania Utukufu wa Mungu ni wa Ajabu: Walioandaa Hotuba ya Bunge ya kusomwa kwenye Mazishi ya Lissu Wamepukutika wote

    Tutajie majina ya Tutajie majina yao ili tukubaliane na wewe kuwa unachosema ni sahihi, vinginevyo hizo ni habari za kupika tuu. Unaweza kuhesabiwa kuwa huo ni uvumi tuu
  10. Zamazangu

    JamiiForums Tanzania Licha ya demokrasia kusitawi sana Tanazania, Je, kinachoonekana kwenye siasa za upinzani ni CHADEMA kujitenga yenyewe au imetengwa na upinzani?

    Mtoa mada naomba nikuulize swali. Demokrasia iliyoshamiri ndiyo hiyo ya kuteka wapinzani? Kuwabambikia kesi au ni demokrasia ipi? Wanaokosoa wanapopotezwa na wasiojulikana ndio demokrasia?. Au hayo matukio unajifanya hauyaoni? Mungu anakuona.!!! Unakuwa chawa kwa kiwango cha lami 😭😭😭😭😭😭
  11. Zamazangu

    JamiiForums Tanzania Vyama vya upinzani Tanzania Bado sana wanasafari ndefu

    Hapo umesema ndiyo maana watawala hawalali usingizi. Kila siku wanajaribu mbinu za kuinyamazisha. Na kama watashindwa safari hii. I tell u. Watakufa wao. Maana mwenda zake alitumia mbinu chafu nyingi sana lakini yaliyomkuta kila mtu ni shahidi. Na sasa ni kama wanaanza kuamini kuwa wameshinda...
  12. Zamazangu

    JamiiForums Tanzania GE2025 PDF la wagombea ubunge kupitia CCM waliopitishwa na wajumbe kwenye kura za maoni

    Huna akili kabisa wewe. Kama uenyekiti wa vitongoji na vijiji kaua watu ili kudhibiti wapinzani sembuse ubunge na udiwani. Kumbuka hao wenyeviti hawalipwi chochote, hao wabunge wanalipwa 18M kwa mwezi. Nina mashaka wewe hazikutoshi, waache CDM wafanye wanayoyaona yanafaa kwa mustakabali wa chama...
  13. Zamazangu

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema ampongeza Kitila Mkumbo

    Kuwa mpinzani sio uadui. Watu wapingane kwa hoj. Hapo ndipo Tanzania tuna feli. Chuki zote tunazoziona kati ya chama tawala na upinzani ni hiyo hali ya kukosa tafsiri halisi ya UPINZANI. Huku watu walio wengi wakiamini kuwa upinzani ni uadui . Na kutoka hilo eneo la uelewa itatuchukua miaka...
  14. Zamazangu

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kutoka kwa mjumbe: Baba Levo kamwaga pesa sio chini ya Bilion moja na nusu

    Wa Wapo wanaokota tende chini ya mbuyu pia 😂😂😂😂😂
  15. Zamazangu

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kughairi kugombea ubunge labda amejiongeza kujua desturi ya CCM

    Inasemekana kuwa jamaa alipigwa Mkwara na bi Kizimkazi. Akaambiwa futa kauli yako na waambiwe wananchi wako kuwa sitagombea. Akalazimika kutangaza kauli nyingine
Back
Top Bottom