kama wazungu hawana maana viongoz wa marekani wamekuja kufanya nn TZ na hawa wachina wanaotutengenezea barara zetu, je hakuna mainjinia TZ? mzungu lazima mmtegemee mpaka kufa kwen.
Jaji Warema amesema maneno mengi sana lakin navyoelewa mm, maneno hayo hayatafanyiwa kazi kama inavyotakiwa kwani ufisadi umeshakuwa tatizo kubwa sana hapa nchini. dah wananchi tumesha choka na kunyonywa na watuu wa chache.
majina ya watengenezaji /wasambazaji katika mabano ni pamoja na karatasi laini ‘tissue' za Alawi Supplies ya Zanzibar, Milk Marie Biscut za Britania, Maji ya Great Zone, Mishipi na nyavu za kuvulia samaki za Imara Fishnet, maji ya Raha na fulana za Kibo Trade.
Bidhaa zingine ni matofali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.