Recent content by Zakayo Mosha

  1. Zakayo Mosha

    JamiiForums Tanzania Sanya juu Sekondari Siha wapewa tuzo

    Safii hiyoo Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Zakayo Mosha

    JamiiForums Tanzania Sanya juu Sekondari Siha wapewa tuzo

    Mabingwa wa pili kitaifa mchezo wa baseball shule ya Sanya juu sec Wilayani Siha wapewa tuzo na mhe. RC Kilimanjaro Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Zakayo Mosha

    JamiiForums Tanzania Afisa elimu msingi wilaya ya Siha ni tatizo la kudumu

    Walimu Wa Siha tupo imara na tunaendelea kufanya kazi kwa bidii na maarifa hatuna mda wa kujadili mambo yasiyo na tija
  4. Zakayo Mosha

    JamiiForums Tanzania Afisa elimu msingi wilaya ya Siha ni tatizo la kudumu

    Naomba unajiita mdau uache kuleta fitina ktk kazi kwani huwezi fanikiwa kwa hili. Tafuta kazi nyingine ya kufanya kwani huwezi pata faida yoyote
  5. Zakayo Mosha

    JamiiForums Tanzania Afisa elimu msingi wilaya ya Siha ni tatizo la kudumu

    Ww Kama mdau Una ruhusa Ya kutoa maoni yako lkn ww unatoa malalamiko badala ya kutoa suluhu. Hakuna haja ya Ww kuhitaji CV ya afisa elimu kwani zipo mamlaka zinao wajibu wa kufanya hivo
  6. Zakayo Mosha

    JamiiForums Tanzania Afisa elimu msingi wilaya ya Siha ni tatizo la kudumu

    Ww umeshapoteza mwelekeo wa maisha hatuna sababu ya kuwasiliana na mtu kama ww
  7. Zakayo Mosha

    JamiiForums Tanzania Namwai Sekondari yafanya kweli

    Shule ya Sekondari namwai Wilayani Siha yapata tuzo kwa kupata mjongeo chanya matokeo ya kidato cha nne 2017. Shule hiyo imepata shilingi milioni 2 kwa ajili ya motisha kwa walimu Habari zaidi soma www.sihadc.go.tz
  8. Zakayo Mosha

    JamiiForums Tanzania Afisa elimu msingi wilaya ya Siha ni tatizo la kudumu

    Naomba wadau tumshauri na kumwelimisha mjinga huyu hadi atakapobadilika na kuwa na tabia za kibinadamu.
  9. Zakayo Mosha

    JamiiForums Tanzania Afisa elimu msingi wilaya ya Siha ni tatizo la kudumu

    Jinsia yake ni mwanaume lakini anatabia ambazo haziendani ya jinsia yake Bro tafuta kazi nyingine ya kufanya hapa umechemka mbaya.
  10. Zakayo Mosha

    JamiiForums Tanzania Afisa elimu msingi wilaya ya Siha ni tatizo la kudumu

    Kwa ujumla anafanya kazi kwa kushirikiana na mwenzi wake ambaye pia ni afisa elimu Kata katika halmashauri mojawapo hapa KILIMANJARO. Tunafuatilia na mwisho wao umefika Sasa. Tupo kazini kuwasaka watu hawa wenye chuki binafsi za maisha. Acheni Siha Ifanye mambo ya maana hatuna mda na wajinga
  11. Zakayo Mosha

    JamiiForums Tanzania Afisa elimu msingi wilaya ya Siha ni tatizo la kudumu

    Walimu wa Siha msiogope wala hakuna miongoni mwenu aliyeshiriki jambo hili kwa namna yoyote ile mpo Ok kabisa Mjinga mmoja aliyehama Siha baada ya kuwa na madeni makubwa na watu ameamua kuwachafua. Mtu huyu alishamchafua na Afisa elimu wa manispaa ya Moshi hivi karibuni kabla ya kumchafua afisa...
  12. Zakayo Mosha

    JamiiForums Tanzania Afisa elimu msingi wilaya ya Siha ni tatizo la kudumu

    Aliyetuma post ya kumchafua afisa elimu msingi ni mwalimu aliyekuwa Siha lakini akahama na baadaye amefukuzwa kazi kwa mambo yake binafsi ila bado yupo mkoa wa Kilimanjaro lakini kwa Sasa afanyi kazi tena amefukuzwa.
  13. Zakayo Mosha

    JamiiForums Tanzania Afisa elimu msingi wilaya ya Siha ni tatizo la kudumu

    Walimu wa Wilaya ya Siha poleni sana kwa usumbufu mlioupata wa kuchafuliwa mitandaoni, ukweli ni kwamba anayetuchafua tumemjua na siyo mwalimu wa Siha Nitawatajia hivi punde
  14. Zakayo Mosha

    JamiiForums Tanzania Afisa elimu msingi wilaya ya Siha ni tatizo la kudumu

    Naomba tujadili mambo ya maendeleo tuache majungu.
  15. Zakayo Mosha

    JamiiForums Tanzania Afisa elimu msingi wilaya ya Siha ni tatizo la kudumu

    Acheni mambo ya ujinga
Back
Top Bottom