Uzi murua. Kuna kitu hata Mimi kinanishangaza Sana kuhusu Lisu. Alitaka kuuawa na Magufuli. Akaenda Ubelligiji kutibiwa. Kinyume na matakwa ya Magufuli,akarudi. Hofu ya Mungu ikawaangukia Magufuli na genge lake! Wakaufyata. Walipokuja kutahamaki, Mkuu karibu achukue nchi. Wakataharuki...
Huu Sasa ni ujinga. Kama madaktari hao hawataki kufanya kazi serikalini, mnawafuatilia ili muwafanyeje!?
Wizara ya Afya acheni tabia kama za wachawi. Kuna madaktari wengi sana wasio na kazi. Wapeni kazi hao. Acheni tabia za kuharibia wengine maisha kwa kutumia madaraka.
Zamani, enzi za...
Asante Sana. Ni wakati Sasa wa kufahamu iwapo anapotoshwa na madaktari au Rais ameamua kunywa damu ya Watanzania.
Waziri Ni lazima atoke hadharani atuambie wenye nchi iwapo korona ipo au haipo. HATUTAKI kuwa na viongozi wanaotuambia uongo huku wakifikiri sote tu mbumbumbu. Hii tabia ya utawala...
Seif Sharif Hamad Ni Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar. Nafikiri masuala ya Afya ni ya Muungano. Ni haki Mganga mkuu wa serikali au waziri wa Afya aeleze umma tatizo la kiongozi wao.
I'm a member of this forum which is a public forum; and a citizen of this country. Dorothy Gwajima is a public leader in the ministry of health. She's obliged to answer these questions. If she doesn't, it's up to her.
So I thought it's none of your business poking your nose into my affairs.
Magufuli ni mtu mwenye uelewa finyu, ambaye hawezi kuhimili hoja nzito. Watu wa aina yake hujenga chuki nafsini dhidi ya wenye hoja tofauti na wao. Wakiwa na nafasi ya mamlaka, basi hutumia mamlaka hayo kukandamiza hoja.
Hata hivyo upinzani si Chadema wala ACT Wazalendo pekee. Umo mioyoni mwa...
Hili ni jukwaa la umma, waziri Gwajima ni waziri wa umma. Covid Ni ugonjwa wa umma. So nataka majibu yawe ya wazi ili umma wa JF ujue. Otherwise, shut up your narrow mouth.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.