Recent content by Zacht

  1. Zacht

    JamiiForums Tanzania Kwa Nini Ukristo Hauna Mfumo wa Social Guidance Kama Uislamu na Uyahudi?”

    Hata Uislamu pia tuna concept ya kutii mamlaka. Qur'an 4:59 inaamuru waumini kumtii Allah, Mtume na ulil-amr (wenye mamlaka), huku utii uwe ndani ya mipaka ya haki. Lakin haiondoi haki ya dini kuwa na guidance zake za namna ya watu kuishi na kufafanua Mambo , Ikiwa dini ipo kwenye hali ya...
  2. Zacht

    JamiiForums Tanzania Kwa Nini Ukristo Hauna Mfumo wa Social Guidance Kama Uislamu na Uyahudi?”

    Mimi sijauliza Mkristo anawezaje kuongozwa kiroho au kutambua mema na mabaya. Nimeuliza mfumo wa sheria za kijamii Objective rules za wazi zinahitajika ambazo zitazotumika kwa jamii nzima, Haya kama Roho Mtakatifu atamfundisha kila Mtu. kwa fano Mkristo akifa na kaacha mali Roho Mtakatifu...
  3. Zacht

    JamiiForums Tanzania Kwa Nini Ukristo Hauna Mfumo wa Social Guidance Kama Uislamu na Uyahudi?”

    Bado hujatoa jibu ,Canon Law ni mfumo wa sheria wa Kanisa Katoliki , hautoi social guidance kwa dini kama dini nini kifanyike kwe Mambo ya kijamii. Kwa mfano, Mkristo akifa akiacha mali, mirathi yake itaamuliwa na sheria ya nchi yake. Lakin Ukristo hauna maelezo nini kifanyike Hata kwenye...
  4. Zacht

    JamiiForums Tanzania Kwa Nini Ukristo Hauna Mfumo wa Social Guidance Kama Uislamu na Uyahudi?”

    Mwanzo had ufunuo huko kuna Torah na sheria za mosaic covenant, Hoja yangu ni kuhusu kwamujibu wa theology ya Kikristo unaofundisha kuwa New Covenant imekuja kureplace/kuhitimisha Mosaic Covenant . Swali langu ni je. Kuna Christian social au legal code yeyot iliyotolewa ndani ya New Covenant...
  5. Zacht

    JamiiForums Tanzania Kwa Nini Ukristo Hauna Mfumo wa Social Guidance Kama Uislamu na Uyahudi?”

    Hiyo ni church discipline,sio social legal code Namaanisha social guidance, mfumo mpana wa kanuni unaoongoza maisha ya jamii, Mirathi, Ndoa,Talaka, Biashara,Mali,Familia ,Makosa ya jinai,Fedha, madeni, inheritance, financial obligations na Utawala
  6. Zacht

    JamiiForums Tanzania Kwa Nini Ukristo Hauna Mfumo wa Social Guidance Kama Uislamu na Uyahudi?”

    Yani swali langu wakristo wanaish kwa utaratibu gani kuanzia ibada na Hadi maisha ya kila siku au kila mtu na maamuzi yake Maana Muislamu anaweza kufungua Qur'an na Sunnah/fiqh na kupata hukumu au sheria kuhusu ibada,au mfano mirathi humo atakuta mfumo wa kujua nani ni mrithi, nani anazuiwa...
  7. Zacht

    JamiiForums Tanzania Kwa Nini Ukristo Hauna Mfumo wa Social Guidance Kama Uislamu na Uyahudi?”

    Nimekaa hapa nimetafakari, Ikiwa Mungu anatoa dini kwa ajili ya kuwaongoza wanadamu, tungetegemea lazima dini hiyo itoe mwongozo unaogusa kuanzia ibada , namna wanadamu wanavyo takiwa kuishi, pamoja na familia, ndoa, talaka, mali, biashara, mirathi, haki, wajibu na mahusiano ya kijamii etc...
  8. Zacht

    JamiiForums Tanzania Nataka Kuacha Ukristo na Kujiunga na Buddhism – Nianzie wapi Dar?

    Which sense?
  9. Zacht

    JamiiForums Tanzania Vibe la nguvu kwenye Bomb-Shelter!!

    Unajua Talmud inasema nini kuhusu Yesu ,"Yupo motoni anachemshwa" wayahudi wanauita mwanamazingaombwe na unatemewa mate mkristo , Israel ilipitisha Sheria Kuban Chanel ya kikristo kufanya mahubiri ,Leo IDF wamefunga kabisa watu wasitumie . Lakini wewe upo kama punguani unavyowalamba Israel
  10. Zacht

    JamiiForums Tanzania Vibe la nguvu kwenye Bomb-Shelter!!

    Humu ukiingia wewe mlokole unatemewa mate ,ni wayahudi tu
  11. Zacht

    JamiiForums Tanzania Vibe la nguvu kwenye Bomb-Shelter!!

    Wazayuni wenzio wanataka regime change kwao
  12. Zacht

    JamiiForums Tanzania Je, kauli ya Tony Blair Kuvitaka Vyama vya Mrengo wa kushoto kusitisha Ushirika wao na Islamists, inaashiria Kupigwa Marufuku kwa Islamists?

    Wayahudi wenyewe walikuwa wanaunga harakati za socialist na ukomonist sasa ideology hio inawachukiaje i Wayahudi . Wayahudi wanachikiwa kutokana vitendo vyao na wala chuki haijaanza kwenye karne yetu Tu ,kabla ya ukomonist , socialist na hata uislamu haujaingia Arabia ,kwa kipindi chote...
  13. Zacht

    JamiiForums Tanzania Je, kauli ya Tony Blair Kuvitaka Vyama vya Mrengo wa kushoto kusitisha Ushirika wao na Islamists, inaashiria Kupigwa Marufuku kwa Islamists?

    Mlokole huyu hawana Muda wa kusoma history,wala kufatilia geopolitics linakuja kwenye Israel
  14. Zacht

    JamiiForums Tanzania Je, kauli ya Tony Blair Kuvitaka Vyama vya Mrengo wa kushoto kusitisha Ushirika wao na Islamists, inaashiria Kupigwa Marufuku kwa Islamists?

    Palestine haijaanza 1964 ipo Muda mrefu tangu kipindi cha Warumi (Syria Palaestina) ikiwa chini ya Ottoman Empire , badaye ikawa British Mandate for Palestine, kilichoanzishwa 1964 ni Palestine Liberation Organization, kwa ajili ya kupigania existence yao dhidi ya watayuni ,waliovamia 1948
  15. Zacht

    JamiiForums Tanzania Israel inakaribia kuanguka

Back
Top Bottom