Akizungumza leo Jumapili Februari 25, 2018 katika kanisa hilo lililopo Mwenge, jijini Dar es Salaam, Baba Askofu Kakobe amewataka waumini wa kanisa hilo kuzikataa taarifa hizo na kwamba zimejaa siasa.
Baada ya TRA kutoa taarifa siku ya Jumanne ya Februari 20, 2018 ikidai ni matokeo ya...
Jibu ni rahisi sana.
YOHANA 1:12 wote wanaompokea Yesu wanakuwa wana wa Mungu.
Zaburi 24:1 Mali zote hapa duniani ni za Mungu.
Hivyo kama yeye ni mtoto wa Mungu basi ana sehemu katika Mali hizo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.