Kuna kwaya nilikuwa nasikiliza nikiwa mdogo ila siikumbuki jina na nyimbo yake ila nakumbuka baadhi ya maneno...walikuwa wanaimba..
Maneno ya kinywa changu ee we bwana yakutukuze wee, wee Mwokozi wangu na mawazo yote ya moyoni mwangu yapate kibali mbele zako bwana.....
Naomba msaada wa jina la...
Juzi nilibahatika kwenda Mtwara Newala vijiji huko...nikauliza watu tu kwa udadisi...kiukwel Lowassa ni habari nyingine anakubalika sana...hata mimi nilikua ccm tena...nilikua mbishi sana mpaka nilisema ukikata damu yangu ni ya kijani...ila kiukweli Tunahitaji mabadiliko....napenda niwe part of...
Utabiri wa TB Joshua unakuwaga kweli...ana personal prophecy na zinazohusu taifa...ila hatujui kama ni kweli alisema hivyo....kama kweli alisema kuna dalili zinaonekana
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.