Recent content by Yvo

  1. Y

    SoC03 Bodi ya Mikopo (HESLB) Tanzania

    Bodi ya mikopo ya elimu ya juu (Higher Education Students' Loans Board) Tanzania ilianzishwa mwaka 2005 na Rais wa tatu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania hayati Dkt.Benjamini William Mkapa chini ya Wizara ya elimu yenye jukumu la kutoa mikopo Kwa wanafunzi wa elimu ya juu kuanzia shahada ya...
  2. Y

    SoC03 Kizungumkuti cha maadili nchini Tanzania

    KIZUNGUMKUTI CHA MAADILI NCHINI TANZANIA. Miaka ya hivi karibuni duniani kote na hata Tanzania, kumeshuhudiwa kuwapo Kwa suala la Kizungumkuti cha maadili na limeonekana kuwa suala mtambuka na lenye kuleta mjadala mkubwa ili tija ipatikane Kwa kuinusuru jamii yetu. Hivi sasa jamii imepoteza...
Back
Top Bottom