Recent content by yves

  1. Y

    JamiiForums Tanzania Barua ya Wazi kwa Rais Magufuli, kutoka kwa wafanyakazi wa NIDA

    Magufuli kaskia kilio
  2. Y

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Dah jaman Porto ni msenge sana dah
  3. Y

    JamiiForums Tanzania Charles Kitwanga atajwa kuhusika na kashfa ya ufisadi katika Jeshi la Polisi ya sh. bilioni 34

    Ndugu zako ni hao hahahaaaaaaaa
  4. Y

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hapa vipi wadau
  5. Y

    JamiiForums Tanzania Barua ya Wazi kwa Rais Magufuli, kutoka kwa wafanyakazi wa NIDA

    Mbona watu mna maneno ya taarabu sana humu
  6. Y

    JamiiForums Tanzania Charles Kitwanga atajwa kuhusika na kashfa ya ufisadi katika Jeshi la Polisi ya sh. bilioni 34

    Tafuta gazeti la Leo utajua kila ktu.
  7. Y

    JamiiForums Tanzania Charles Kitwanga atajwa kuhusika na kashfa ya ufisadi katika Jeshi la Polisi ya sh. bilioni 34

    Kamati ya fedha ndo imegundua hayo maovu
  8. Y

    JamiiForums Tanzania Charles Kitwanga atajwa kuhusika na kashfa ya ufisadi katika Jeshi la Polisi ya sh. bilioni 34

    Tofautisha Kati ya Infosys IPS ya kina kitwanga na KIPILIMBA na InfoTech ya Bilionea Ali Mufuruki
  9. Y

    JamiiForums Tanzania Charles Kitwanga atajwa kuhusika na kashfa ya ufisadi katika Jeshi la Polisi ya sh. bilioni 34

    Ali mufuruki ni mmliki wa kampuni tofauti na hyo ilyopo kwny ufisadi! Ilyopo kwenye kashifa ni INFOSYS......... Na kampuni ya ALI MUFURUKI ni INFOTECH. So Kama hujui ktu bora usichangie
  10. Y

    JamiiForums Tanzania Charles Kitwanga atajwa kuhusika na kashfa ya ufisadi katika Jeshi la Polisi ya sh. bilioni 34

    Huyo anAetetea nae Hana akili kabsa yan! Anabishia report ya CAG
  11. Y

    JamiiForums Tanzania Charles Kitwanga atajwa kuhusika na kashfa ya ufisadi katika Jeshi la Polisi ya sh. bilioni 34

    Tena eti naskia Skia ni mchungaji wa kanisa moja Hv pale external linaitwa City Harvest! Kwel mtumishi wa Mungu unaweza kufanya haya yote jaman tumuogopen Mungu! Anaona yote tunayoyafanya hapa duniani!
  12. Y

    JamiiForums Tanzania Charles Kitwanga atajwa kuhusika na kashfa ya ufisadi katika Jeshi la Polisi ya sh. bilioni 34

    Maguful almuamini kumbe nae ni wale wale wapigaji! Fisadi hawezi kuongoza mamlaka kubwa Kama ile aisee
  13. Y

    JamiiForums Tanzania Charles Kitwanga atajwa kuhusika na kashfa ya ufisadi katika Jeshi la Polisi ya sh. bilioni 34

    Naye mkrugenzi wa NIDA kumbe jipu dah! Noma sana
  14. Y

    JamiiForums Tanzania Barua ya Wazi kwa Rais Magufuli, kutoka kwa wafanyakazi wa NIDA

    WAZIRI WA MAGUFULI KTK KASHFA YA UFISADI NA POLISI - Kampuni inayohusishwa naye ya Infosys ilikuwa mkandarasi Yadaiwa Infosys inamilikiwa na Kitwanga na Mkurugenzi Mkuu NIDA Ni mdau wa LUGUMI enterprises Na Mwandishi Wetu WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Charles Kitwanga atajwa kuhusika...
Back
Top Bottom