Recent content by yuzzo jr

  1. Y

    Kusoma degree na certificate au diploma kwa mara moja

    Kuhusu muda hamna shida mm nachotaka nijue kama inawezakana kusoma kwa mara moja?
  2. Y

    Kusoma degree na certificate au diploma kwa mara moja

    Kwa wanaojua kwani Inawezekana mtu kusoma vyuo viwili kwa mara moja mfano;upo degree chuo x ila unafanya application na kujisali level ya certificate au diploma chuo y
  3. Y

    Inawezekana mtu kuhama chuo (campus) uliyopangiwa?

    Kama unahama kutoka campus ya tia ya dar kwenda tia ya mbeya hamna shida unaruhudiwa
  4. Y

    Computer4Sale Laptop inauzwa Mbeya mjini

    Laptop brand lenovo thinkpad inauzwa bei 350,000 location Mbeya mjini. Ram 4gb, storage 500gb, processor 2.6, core i5.
  5. Y

    Nauza laptop

    Laptop lenovo think pad inauzwa location mbeya mjini Ram 4gb,storage 500gb,processor 2.6 core i5. bei sh 350,000 mawasiliano 0673-107669
  6. Y

    Niulize chochote kuhusu Subwoofer na Sounds system

    Jamani na mimi naombeni msaada ili nijue kama nitatizo nina kisabufa changu cha aborder vile vidogo kabisa ukikiwasha kinakua kinatoa mlio/sauti kama chenga chenga. NB,radio ndo mpya ina siku mbili
  7. Y

    Huu wizi wa halotel mamlaka zinasemaje?

    Mimi sasa hivi huwa sihangaiki nao,huwa naeka hela halopesa ndo naunga kifurushi.
  8. Y

    Natafuta mtu atakayenipunguzia mzigo wa filamu kwa bei ya jumla

    mkuu na mm nitumie no.zako pm tuongee
  9. Y

    Account yangu ya chuo inaonesha financial sponser ni Private badala ya HESLB. Nifanye nini?

    sawa, mkuu chuo tulishajisajili toka week iliyopita ngoja nitulie.
  10. Y

    Account yangu ya chuo inaonesha financial sponser ni Private badala ya HESLB. Nifanye nini?

    Nimeomba mkopo na nimefanikiwa kupata, ila nikiingia kwenye account yangu niliyosajiliwa chuo sehemu ya financial sponser inaonyesha ni private badala ya HESLB na sehemu ya HESLB loan amount inaonyesha 0.00. Inaweza kuwa tatizo nikatoe taarifa chuo au niache mkopo wangu utaingia kama kawaida.
  11. Y

    Chuo cha TEKU kinaconfirm watu wenye multiple selection bila idhini yao, TCU kichukulieni hatua

    Ila bora mimi wamewahi hao T.I.A maana wanachofanya ni kuwahiana wanaangalia watu wenye multiple kama bado hujaconfirm wao wanaconfirm wenyewe na ni vyuo vingi sio hivyo tu.pona yako kidogo uwe ulisharequest code ila kama bado umeisha
  12. Y

    Chuo cha TEKU kinaconfirm watu wenye multiple selection bila idhini yao, TCU kichukulieni hatua

    Naenda ila kinyonge sana maana nilitaka nisome I.F.M,watu wasiwe wabishi hivi vyuo vinaconfirm watu bila ridhaa yao.hapo bado kuna vyuo vingine na vyenyewe vina majina makubwa ila vinafanya huo upumbavu.
  13. Y

    Chuo cha TEKU kinaconfirm watu wenye multiple selection bila idhini yao, TCU kichukulieni hatua

    Ni kweli jamani msiwe wabishi,hata mimi T.I.A walinipigia simu wakiuliza kama waconfirm nikawakatalia ila wameingia kwenye sytem wamenibadilishia number ya simu niliyokua nimeweka kisha wakaconfirm.
  14. Y

    Msaada: Je, nithibitishe kusoma Chuo gani?

    Bachelor of accountancy - TIA{MBEYA} Bachelor in accounting and finance - CUCOM/SAUT{MBEYA} Bachelor of accountancy with information technology - IFM{DAR ES SALAAM} Bachelor degree in accountancy with information technology -IAA{ARUSHA}
Back
Top Bottom