Recent content by Yusuphtaha

  1. Yusuphtaha

    JamiiForums Tanzania Nyama ya kenge

    😁😁😁
  2. Yusuphtaha

    JamiiForums Tanzania Hali ya usafi kwenye saluni unayoenda kusuka au kunyoa ikoje?

    Kwakweli kwa hapa wahusika wanakazi ya kufanya kubwa sana, saloon, Migahawani huku/Mama Ntilie (vyakula vinavyopikwa na Joice zake ), Maguest huko hizi sehem zinatakiwa kuangaliwa kwakweli. Unakua mtu anafungua saloon na Taulo mbili to😥
  3. Yusuphtaha

    JamiiForums Tanzania Tumshauri kijana huyu cha kufanya, muda bado upo

    Namshauri ajaribu kutembelea na sehemu kama Pekas(Kwa Mwamposa) Atanishukuru baadae...
  4. Yusuphtaha

    JamiiForums Tanzania Break down ya Mil. 27 kwa nyumba ya vyumba 3 yenye kila kitu

    Hesabu nzuri sana ila kwa ujumla integemeana na Eneo, Ramani ya nyumba na usimamizi kwa ujumla ukizingatia hivyo nyumba inakamilika mapema.
Back
Top Bottom