Recent content by yusuphkijuu

  1. yusuphkijuu

    Ni lini utumishi wataita watu waliofanya oral za MDAs & LGAs

    Naomba kufaham kuhusu ujira wa TAWA kwa anayefaham zaidi tafadhali???
  2. yusuphkijuu

    PreGE2025 Mchungaji Msigwa: CHADEMA kimepoteza mvuto, hakistahili tena kujiita Chama kikuu cha upinzani

    Mke umemuacha kwa hiari yako ,Sasa taarabu za nini kutwa yupo mdomoni kwako
  3. yusuphkijuu

    Paul Makonda: Rais Samia anarogwa sana na watumishi wake

    Kwa mara kwanza ushirikina umeingia state house
  4. yusuphkijuu

    Video: Vurugu zazuka Kinondoni baada ya raia kugoma mwenzao kuchukuliwa na Polisi wakihofia Polisi huyo kuwa mtekaji

    Hapo askari kapewa pesa ili aende kumkaamata jamaa bila kufuata utaratibu ndiyo maana yanawakuta mambo . Watu wa aina hii ni kwenda nao kiulalo ulalo tu hakuna namna.
  5. yusuphkijuu

    TANZIA TRA inatangaza kifo cha mtumishi wao, Amani Simbayao kilichotokea leo 06/12/2024

    Mambo yalipofikia yanaogopesha sana .Usalama wa raia sio tena jukumu la polisi ni raia mwenyewe.
  6. yusuphkijuu

    Barua ya kuomba nafasi nilipitisha kwa mkurugenzi wangu

    Habari wadau, Naomba kupata elimu kuhusu hili suala langu hapa. Nilipitisha barua yangu kwa mkuu wangu (DG) kwa lengo la kuomba nafasi taasisi X. Je, wakati wa kuomba kibali nalazimika kupitisha tena au naweza kuitumia ili barua niliyoipitisha awali kama kiambatanisho.
Back
Top Bottom