Recent content by yusuph seif

  1. yusuph seif

    Jinsi kuongeza like facebook

    Kuna njia nyingi za kuongeza like ila hii nayo kiboko. Ongeza like nyingi facebook kwa kutumia app ya dj liker hii app haipatkan playStore ili kuipata hii app itakulazimu uingie google na kuandka djliker apk hapo ndio utaweza kuipata hii app. Ili kupata maelezo ya matumizi check hyo video...
  2. yusuph seif

    Jinsi ya kuongeza followers instagram

    Hivi unajua kuwa na followers wengi kwa haraka sio kazi ngumu. Unaweza kupata follower kwa kutumia app ya real follower hii app haipatikan playstore kama zlivyo apps nyingine. Hii app ya Real follower unaweza kuipata google tu. Ili kuipata hii app utaingia google na kuanda realfollower apk...
  3. yusuph seif

    Startimes Tanzania: Support thread (maswali, maoni na ushauri)

    Nikilipia kifurushi cha mambo chaneli za sport sizioni ikiwa kama ofa mlioitangaza Niko Mbagala no. 02035678993 naombeni msaada juu ya hili
  4. yusuph seif

    Startimes Tanzania: Support thread (maswali, maoni na ushauri)

    Mi mbn kingamuz chang hakionyeshi chanel za local zaid ya T.B.C pekee
Back
Top Bottom