Recent content by YUSUPH P'SON

  1. YUSUPH P'SON

    Nahitaji kusoma kozi za Afya naomba ushauri

    SUBIRIA TU UJARIBU KUTUMA KUTUMA :juggle::rockon:
  2. YUSUPH P'SON

    Upgrading clinical assistant to clinical officer

    jamani naombeni msaada juu ya hilo njia gani ya kufaata maana nimemaliza ca mwaka jana nilitaka niendelee na co na ni chuo gani
  3. YUSUPH P'SON

    Naomba kujulishwa namna ya kujiunga vyuo vya certificate vya afya vya government

    Anaweza kwenda maana kwa matokeo ya kuanzia 2012 na kurudi nyuma anatakiwa awe na "ddd" kwa "pcb" mathematics na english ni sifa za ziada na kwa matokeo kuanzia 2013 mpaka leo inatakiwa "eee" kwa "pcb" km kawaida maths na eng ni sifa za ziada. Hiyo ni certificate ya kozi yoyote ya afya.
  4. YUSUPH P'SON

    Mwalimu wa Kibasila aishi na kinyesi chumbani kwake kwa miaka miwili

    AISHI NA KINYESI NDANI YA CHUMBA CHAKE KWA MIAKA 2 MWALIMU wa Shule ya Sekondari ya Kibasila Gaudensia Abert ameishi na kinyesi, mikojo, mende na funza wa kila aina katika chumba kimoja kwa muda wa miaka miwili. Tukio hilo ambalo limewafanya majirani kujiuliza maswali ambayo wamesema...
  5. YUSUPH P'SON

    Mkanganyiko wa hizi term za kiafya kwa udaktari

    matokeo yako form six ni mazuri usikubali kuapply diploma in clinical medicine ni mzunguko sana kwa sababu mpaka uje usome
  6. YUSUPH P'SON

    Ofa: Nina design blog na kukuwekea matangazo (adsense)

    hyo ni website au ni blog km ulivyosema?
Back
Top Bottom