Mimi mwanafunzi niliyehitimu mafunzo ya VETA katika fani ya ujenzi level 2 mfumo wa CBA 2013, ninauzoefu katika fani hii katika kisimamia kazi( siteforeman) miaka mitano, ninaomba Kama kuna kazi yeyote inayohusu wasifu huu ninaomba nitaarifiwe jamani wana JF.
Mawasiliani: 0765920084 au 0672574026
Karibuni wote wenye uhitaji wa kufanyiwa kazi za ukarabati wa nyumba pamoja na kazi Mpya za ujenzi ,Pia tunasupply building materials mfano: rangi, misumari,Mabati, Tiles za Sakafu, plywood,viunganishi vya bomba na Bomba . Mawasiliano: 0672574026 au 0765920084.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.