Recent content by Yusuph Jr

  1. Y

    JamiiForums Tanzania CHADEMA asilia tunakukumbuka sana Dr. Slaa

    upuuzi mtupu.
  2. Y

    JamiiForums Tanzania Uongozi wa CHADEMA KYELA uchunguzwe haraka sana

    Wewe ni mnafiki tu,mnalaumu viongozi wa wilaya kwani wao wana pesa za kuwagharimia wagombea?Hawana ruzuku wala posho,wanaendesha chama kwa pesa zao halafu mnawalaumu! Kama unauchungu si ungelipa tu?Acha umbea.
  3. Y

    JamiiForums Tanzania Kufuru: Kikwete alitumia takribani Milioni 4 kwa siku moja hotelini Serengeti

    Kuna haja ya kubadili katiba,watu kama jk ni wa kufungwa tu .
  4. Y

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi wa Meya wasababisha vurugu kubwa Tanga

    mkurugenzi kachakachua matokeo ndio maana kaambulia kipigo kikali.
  5. Y

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi wa Meya wasababisha vurugu kubwa Tanga

    Akili zipi hizo mkuu?
  6. Y

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi wa Meya wasababisha vurugu kubwa Tanga

    mimi nimeripoti matokeo,ccm wanataka watawale milele.
  7. Y

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi wa Meya wasababisha vurugu kubwa Tanga

    Taarifa toka Tanga zinasema kuwa uchaguzi wa meya wa jiji la Tanga umemaliza,na Ccm wameshinda kwa kupata kura 19,UKAWA 18.Ikumbukwe kuwa ukawa wana madiwani 20 na ccm 17.Tafsiri ya ushindi huu wa ccm,ni eidha madiwani wawili wa ukawa wamempigia kura mgombea wa ccm,au matokeo yamechakachuliwa.
  8. Y

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli si rafiki wa vyombo vya habari

    Mtaijua rangi halisi ya magufuli muda mchache ujao.Mmemsifu wee utafikiri mapunguani.Wengine tulishasema Hafai.
  9. Y

    JamiiForums Tanzania RPC wa Mwanza Charles Mkumbo, apandishwa cheo

    Acha bangi kaka,
  10. Y

    JamiiForums Tanzania RPC wa Mwanza Charles Mkumbo, apandishwa cheo

    wewe ulitaka ukaeje?
  11. Y

    JamiiForums Tanzania UKAWA ni wazembe wa kutupwa

    Mtoa mada umenena hata mimi nashangaa,iweje viongozi wakuu hasa mwenyekiti Mbowe hatoa matamko kwa haya yanayoendelea nchini?Ukawa wamemwacha Magufuli anatamba kwenye vyombo vyote vya habari.Huu ni udhaifu.
  12. Y

    JamiiForums Tanzania RPC wa Mwanza Charles Mkumbo, apandishwa cheo

    Taarifa nilizopata zinatanabaisha kuwa,aliyekuwa Kamanda wa Polisi mkoa wa Mwanza amepandishwa cheo na kuwa Mkuu wa Intelijensia Nchini. Ikumbukwe kuwa RPC huyu mwenye jina na Mkumbo, ndiye aliyezuia kuagwa kwa marehemu Alphonce Mawazo pale Mwanza. Ni wazi kuwa ule utamaduni wa kuwapandisha...
  13. Y

    JamiiForums Tanzania Kwa mabilioni haya ya Ruzuku CHADEMA, Tutamjua Mbowe ni Nani

    Tunataka kuona makatibu wa wilaya na mikoa wanaajiriwa,kila jimbo linapata ruzuku,wilaya zote zinakuwa na gari dogo na ofisi makao makuu inajengwa.
  14. Y

    JamiiForums Tanzania Sakata la Makontena: Mwigulu, Saada Mkuya, Katibu Mkuu Wizara ya Fedha wanatakiwa wawe ndani

    Hapo umenena,Mwigulu ni jipu sugu.
  15. Y

    JamiiForums Tanzania Upotevu wa Makontena 349 ICD: Nane akiwemo Masamaki wafikishwa Mahakamani, Wakosa dhamana

    Magufuli sio msukuma,hata kabila lake halijulikani.
Back
Top Bottom