Nimepitia pitia nyuzi kadhaa, nikakutana na huu uzi hapa. Walau nimeona kuna kitu cha tofauti ameandika. Amewasilisha mawazo yake ya kubuni ambayo kwa haraka haraka yanaeweza kuwa chachu ya mabadiliko kama yakiwekwa katika uangalizi. Wapo wengine pia wameandika vyema sana. Ila huyu nimeona kitu...
Sawa sawa mkuu. Nimejaribu kupitia maandiko mengine, naona mawazo yalio andikwa ni yale yale. Walau kwako nimekutana na vitu vya tofauti. Umejaribu kuleta mawazo ya kibunifu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.