Kuna taasisi na watu mbali mbali wenye interest na Ngorongoro:
1. Ngorongoro Conservation Authority
2. TANAPA
3. Wizara ya Maliasili na Utalii
4. Wadau wa utalii, Arusha
Hivi kati ya hawa wote hakuna anayeona hii hatari akapiga kelele, akawaita wenzake, ili uvamizi huu uthibitiwe?
Kuhusu mtaala wa elimu: Kuna haja ya kuchukua bold measures na bila kuogopa mtu ili kuiokoa elimu, mambo machache ambayo naona bora yafanyiwe kazi haraka ni:
1. Utaratibu wetu wa kupata waalimu wa shule za msingi na sekondari- Shule nyingi za msingi zinapata waalimu kutoka wahitimu wa form...
Kupanga ni kuchagua
. Kama taifa, labda tumeshatosheka kabisa na kuendelea kuwepo kwa hifadhi hii, na tumeruhusu uvamizi wa aina hii uendeleee kwa kisingizi cha wavamizi kuwa na imani na SSH
. Kama ambavyo tumeshidwa kutunza vyanzo vya maji, mpaka jiji kama Dar es Salaam linakosa maji, kisha...
It does not make any difference. By all means ACT is not a competitor of CCM, existence of ACT does not pose any threat to CCM
If ACT forms a coalition with CCM, the beneficiary is ACT as its leaders will get some post in the government. CCM will not benefit much apart from gaining political...
Hayo mabilioni kwa hali ya sasa ya Chama yanatoka wapi? Sources za income ya Chama ni ruzuku, Ada za za wanachama, na sources nyinginezo kama misaada mbali mbali kwa chama
Kwa erratic nature ya flow ya umemem kwa sasa nchini, hakuna kitengo chochote cha habari ambacho kingeweza kuhabarisha umma adequately. Umeme unakatika saa nne kamili , unarudi saa nne na dakika saba, unakatika tena baada ya dakika 12 na unarudi ndani ya dakika 3. Sijui wewe kama mtu wa kitengo...
Kwanza nashangaa, kwani mtu anapoajiriwa si details zote hizi anatoa kwa mwajiri wake. Ina maana MOF walikuwa wanafanya kazi na watu ambao hawajui siku zote hizi. Unamwuliza mwajiri wako jina lako, wewe ulikuwa unamlipa nani mshahara?
Jamani tuache ulimbukeni wa kuona kila tunachofanya na kampuni za nje tunapigwa. Haya mambo ya onshore LNG au Offshore LNG bado hatuna uzoefu wa kutosha.
Kuna uwezekano tumesomesha watu kwenye maeneo hayo, lakini hawana uzoevu wa kuingia mikataba mikubwa ya kimataifa inayohusisha mabilioni ya...
Kumbe na Wanyakyusa walienda hadi UK?? Kweli kuna makabila yenye asiliya aggressiveness nasikia pia Cheif Marialle toka Kilimanjaro naye alienda UN. Swali langu tu la kijinga
1. Ni nani aliwagharamia safari hizi ukizingatia zilikuwa ni safari za kupingana na watawala wao
2. Education level yao...
Nominal GDP per capital does not necessarily tell someone's standard of living. Ruvuma iko vizuri sana kwenye kilimo cha mahindi, maharagwe, Kahawa, alizeti n.k. Pia over recent makaa ya mawe yanachimbwa na kusafirishwa kwa wingi toka Ruvuma. Inawezekana kabisa zaidi ya asilimia 75 mapato ya...
Jengo liko Uswahilini. Kuna ndani ya compound pia wamepafanya uswahilini, vibanda vingi sana vimejengwa kuzingira jengo, majengo yanapigwa" crazy colors" kama uswahilini. Jengo kama la bunge linatakiwa liwe "single standing" na pasiwepo mrundikano wa majengo kuzunguka jengo kuu la bunge.
Tanga ni jiji, Mbeya ni jiji, Dodoma nalo ni jiji
Maendeleo ya mahali hayaletwi na kubadilisha hadhi ya mji toka Manispaa kuwa Jiji, au Halmashauri Mji kuwa Manispaa, au Mji mdogo kuwa Mji
Nilitembelea Songea miaka miwili iliyopita na kujionea hali ya mji huo ambao nao unaitwa Manispaa, kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.