Recent content by yusufu mtegwa

  1. Y

    Infinix Hot 10 Play ufanisi wake ukoje?

    Dah si ndio hapo wanaacha kunishauri wanalumbana tu.
  2. Y

    Infinix Hot 10 Play ufanisi wake ukoje?

    Kwa bei zinatofautiana inategemea umenunua wapi,bei ya mlimani city haifanani na China plaza wala haifanani na kariakoo ndani ndani
  3. Y

    Infinix Hot 10 Play ufanisi wake ukoje?

    Muuzaji ataifagilia ili auze
  4. Y

    Infinix Hot 10 Play ufanisi wake ukoje?

    "Mnaionaje ile simu ya "INFINIX HOT 10 PLAY" yenye RAM 4,na GB 64, na 6000mah.kwa aliewahi au anaeitumia vipi ni simu nzuriii wadau???,nielekezeni mwanzenu.
  5. Y

    Ni aina gani ya friji ya mtumba ni imara na nzuri

    Asante brother kwa ushauri nitautendea haki.
  6. Y

    Ni aina gani ya friji ya mtumba ni imara na nzuri

    Kati ya friji ya mtumba na ya dukani IPI ni nzuri na brand IPI kwa jina. Thibitisha kama unatumia brand hiyo.
Back
Top Bottom