Biashara sio jambo rahisi kabisa, kama huna uzoefu na biashara yoyote cheza na biashara ya viwanja au nunua nyumba ufanye ya wapangaji au guest ya kulala wageni. Usitoke kwenye eneo hilo la ardhi, hizo biashara nyingine za kusimuliwa na kushauliwa hela inaondoka kidogo kidogo mpk inaisha...
Haina tatizo lolote, boss wangu mwenye hiyo gari kununua Alphard new.. hiyo ndio sababu ya kuuza hii harrier. Hii harrier imenunuliwa m37 africars show room/njia panda Mabibo. (O783 708437:- Karibu sana/Gari ya muhindi)
Yes, Nauza harrier tako la nyani m31 karibuni sana. 0715 494920 & 0783 708437. Gari ipo Msasani karibu kabisa na kituo cha polisi ostabey mpya. (Mazungumzo yapo kidogo)
Tv ipo dar es salaam location za mansese, tv ni mpya kabisa lakini imekufa kioo tu. Kwa iyo nauza hivyo hivyo ilivyo. Naposema nauza tv iliyokufa kioo sio wote watanielewa! Taarifa hii inawahusu watu wachache sana, Call 0783 708437.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa mi binafsi mzee wa investigation sitaki kukubali story yako, inaonekana kama story ya kutengenezwa ili kuuwa ukweli ulipopata hiyo kitu. Lkn aslimia ndogo inawezekana!!
Kuna sehemu 2 hapa dar wanahusika na hiyo kitu. 1) Buguruni shell:- Nyuma ya pharmacy maarufu sana pale buguruni kiomboi...
Nauza aiwa inch 55 imekufa kioo tu, TV imetumika kama miezi 7 hivi. Tatizo lake ni kioo tu/box lake lipo/remote imepotea. Nauza hivyo hivyo, ukihitaji 0783 708437. Tv ipo dar location za kigogo Mburahati..
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna wakati nilikuwa napeleka gari za IT congo kupitia rwanda. Kabla ya kutoka hapa dar kuanzia safari kuelekea congo lazima ikatwe insurance ya mda mfupi ukiwa ndani ya tz. Tukiwa boda ya RUSUMO upande wa tz, kuelekea rwanda tunakata tena ya muda mfupi. Tukiwa boda bukavu upande wa rwanda/goma...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.