Recent content by yusufmuro98

  1. yusufmuro98

    Napendakujua programming

    Lodrick nimeanzisha blog yangu (yad9.blogspot.com) na nimeanza kujifunza HTML lakini naona kuna codes haikubali shida itakuwa nini.......
  2. yusufmuro98

    Uzi maalumu kwa ajili ya kujifunza namna ya kutengeneza Android Apps

    Inaweza kuwa inatumia lakini bado sijaidownload
  3. yusufmuro98

    Sababu ya Tanzania kuwa nyuma kutengeneza software games

    tatizo watu wanadharau mtu hajui hata kitu kimoja lakini akikusikia unaanzisha project kama hizo anakukatisha tamaa solution nikuanzisha project zako mpaka pale utakapoweza kama animation uwe umeandaa scripts character design nk kiasi kwamba hata mtu akiiona project yako anakuwa encouraged
  4. yusufmuro98

    Uzi maalumu kwa ajili ya kujifunza namna ya kutengeneza Android Apps

    Bro nina mpango wa kutengeneza Android game. Je unity 3d inahitaji programming language?
Back
Top Bottom