Uzi maalumu kwa ajili ya kujifunza namna ya kutengeneza Android Apps

Njunwa Wamavoko

Njunwa Wamavoko

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2012
Messages
5,662
Likes
581
Points
280
Njunwa Wamavoko

Njunwa Wamavoko

JF-Expert Member
Joined Aug 11, 2012
5,662 581 280
hii thread walikimbilia kui Pin , wengi wetu tukiingia hapa JF tunaangalia zile ambazo haziko pinned maana kichwani nishaji tune kuwa thread za hapo juu ambazo ni pinned huwa hazibadiliki mara kwa mara!

Ni vema ungeomba mods waiondoe kkwenye pinned posts na utaona wachangiaji na wenye mwitiko wa kujifunza watakavyokua wengi!
kwa nionavyo kwenye hii thread hauna wanafunzi kabisa!
 
proxy

proxy

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2016
Messages
967
Likes
654
Points
180
Age
36
proxy

proxy

JF-Expert Member
Joined Jul 3, 2016
967 654 180
View attachment 564867 Za siku wanajamvi
Katika app ya tip calculator tutakuatana na vitu kama kuingiza namba, event handling na seekbar pia hii app itatumia Gridlayout ambayo itahusisha rows na colums. kwa hisani ya "deitel inc development series, android 6 programming".
Cha kwanza tunatakiwa kuanza kudesign interface na fuata hatua zifuatazo
Kabla ya yatupaswa tuibadili RelativeLayout na kuwa GridLayout hivyo kwenye design nenda upande wa Text na kisha futa RelativeLayout na kuandika GridLayout.

Halafu kwenye upande wa sehemu ya property ambayo inapatikana chini upande wa kulia yakupasa u-set idadi ya columns na rows, hivyo nenda kwenye sehemu iliyoandikwa "layout:columnCount" na uandike 2 kwa maana app yetu tutamua columns mbili, upande wa rows usiongeze chochote kwa maana zitakuwa zinaongezeka zenyewe automatik kila tukiongeza component.

1. delete default neno la helowword na kisha nenda kwenye upande wa widgets drag na drop medium text kwenye component tree baada ya GridLayout. hivyo neno litalotokea ni hellow World, kisha iset colum iwe 2 kwa maana itachukuwa column zote hii inafanyika kwenye layout:ColumnSpan, hii ni sehemu ambayo tutaweka neno "Ingiza Kias" hili litakuwa kwenye row 1(ambayo ni row 0 kwenye android studio na programming kiujumla), kwenye property ya "Id" iclick na uipe jina lolote kwa mimi naita "amountTextView".

2. kwenye column ya kwanza pia tutaweka sehemu ambayo mtumiaji ataingiza kiasi anachotaka kiwe kinafanyiwa calculation, hivyo sehemu ambayo ina class za inputs ni ile iliyoandikwa palette ipo upande wa kushoto kwa chini baada ya sehemu ya widget ambapo pameandikwa Text Fields, kuna sehemu ya plaintext, password number nk, kwa kuwa apps inahusisha kuingiza number basi drag na uidrop hiyo pallete ya Number na uipeleke sehemu ya component Tree na litatokea neno editText, nenda sehemu ya property na utafute property ya Id na uipe jina lolote kwa hapa tutaita "amountEditText", kumbuka kila uongezapo component kwenye gridlayout linaenda kwenye cell nyingine mpaka ufanye setting ili na yenyewe itokee kwenye row ya 1(row 0) hivyo upande wa property tafuta layout:column andika 0 na row 0 kisha layout:columnCount andika 2, hapo tunakuwa tumemaliza components za row ya kwanza, next kuongeza component kwenye row zinazofuata.
View attachment 564867
564867
Mkuu upo vizuri sana yaani nafatilia post zako kwa karibu mno,please naomba nitumie hizo na toturial nitakushukuru sana mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mr.genius

Mr.genius

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2012
Messages
905
Likes
517
Points
180
Mr.genius

Mr.genius

JF-Expert Member
Joined Feb 20, 2012
905 517 180
Mkuu samahani kidogo hii JAVA unayoizungumzia ni tofauti na javascript? Mi bado ni mchanga kwenye ulimwengu huu wa programming baada ya kumaliza kujifunza html + CSS sasa nmeanza kujifunza javascript sasa ndo hii hii unayoizungumzia au ni kitu kingine?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
exburnny

exburnny

Senior Member
Joined
Jun 17, 2014
Messages
194
Likes
176
Points
60
exburnny

exburnny

Senior Member
Joined Jun 17, 2014
194 176 60
Different conventions for using single line comments

1. At the beginning

// Before code
System.out.println("...");

2. At the end

void play(); // After code

Different conventions for using multi line comments

1. At the beginning ( usually before starting to code)

/*
* By: Java Learner
* Date: April 2, 2017
*
* Description:
* Some information about
* your code.
*/

/* As a single line comment */
/* Before code */
System.out.println("...");

2. In the middle ( not usual )

System.out /* middle */.println("...");

3. At the end

void stop(); /* After code */

** A mixture of single line and multi line comment act as a swich in order to disable or enable a block of code for debugging purposes.

//*
Block A. (enable)
/*/
Block B. (disable)
//*/
---------------------
/*
Block A. (disable)
/*/
Block B. (enable)
//*/

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Njunwa Wamavoko

Njunwa Wamavoko

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2012
Messages
5,662
Likes
581
Points
280
Njunwa Wamavoko

Njunwa Wamavoko

JF-Expert Member
Joined Aug 11, 2012
5,662 581 280
Mkuu samahani kidogo hii JAVA unayoizungumzia ni tofauti na javascript? Mi bado ni mchanga kwenye ulimwengu huu wa programming baada ya kumaliza kujifunza html + CSS sasa nmeanza kujifunza javascript sasa ndo hii hii unayoizungumzia au ni kitu kingine?

Sent using Jamii Forums mobile app
Java na Javascript ni vitu viwili tofauti!
Jaribu ku google uone tofauti zake!
 
mwaminifuhalisi

mwaminifuhalisi

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2017
Messages
323
Likes
290
Points
80
mwaminifuhalisi

mwaminifuhalisi

JF-Expert Member
Joined Feb 26, 2017
323 290 80
hii thread walikimbilia kui Pin , wengi wetu tukiingia hapa JF tunaangalia zile ambazo haziko pinned maana kichwani nishaji tune kuwa thread za hapo juu ambazo ni pinned huwa hazibadiliki mara kwa mara!

Ni vema ungeomba mods waiondoe kkwenye pinned posts na utaona wachangiaji na wenye mwitiko wa kujifunza watakavyokua wengi!
kwa nionavyo kwenye hii thread hauna wanafunzi kabisa!
Ahsante kwa ushauri. na hata hivyo nimekuwa nakosa muda kabisa wa kuingia huku.
 
mwaminifuhalisi

mwaminifuhalisi

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2017
Messages
323
Likes
290
Points
80
mwaminifuhalisi

mwaminifuhalisi

JF-Expert Member
Joined Feb 26, 2017
323 290 80
View attachment 564867 Za siku wanajamvi
Katika app ya tip calculator tutakuatana na vitu kama kuingiza namba, event handling na seekbar pia hii app itatumia Gridlayout ambayo itahusisha rows na colums. kwa hisani ya "deitel inc development series, android 6 programming".
Cha kwanza tunatakiwa kuanza kudesign interface na fuata hatua zifuatazo
Kabla ya yatupaswa tuibadili RelativeLayout na kuwa GridLayout hivyo kwenye design nenda upande wa Text na kisha futa RelativeLayout na kuandika GridLayout.

Halafu kwenye upande wa sehemu ya property ambayo inapatikana chini upande wa kulia yakupasa u-set idadi ya columns na rows, hivyo nenda kwenye sehemu iliyoandikwa "layout:columnCount" na uandike 2 kwa maana app yetu tutamua columns mbili, upande wa rows usiongeze chochote kwa maana zitakuwa zinaongezeka zenyewe automatik kila tukiongeza component.

1. delete default neno la helowword na kisha nenda kwenye upande wa widgets drag na drop medium text kwenye component tree baada ya GridLayout. hivyo neno litalotokea ni hellow World, kisha iset colum iwe 2 kwa maana itachukuwa column zote hii inafanyika kwenye layout:ColumnSpan, hii ni sehemu ambayo tutaweka neno "Ingiza Kias" hili litakuwa kwenye row 1(ambayo ni row 0 kwenye android studio na programming kiujumla), kwenye property ya "Id" iclick na uipe jina lolote kwa mimi naita "amountTextView".

2. kwenye column ya kwanza pia tutaweka sehemu ambayo mtumiaji ataingiza kiasi anachotaka kiwe kinafanyiwa calculation, hivyo sehemu ambayo ina class za inputs ni ile iliyoandikwa palette ipo upande wa kushoto kwa chini baada ya sehemu ya widget ambapo pameandikwa Text Fields, kuna sehemu ya plaintext, password number nk, kwa kuwa apps inahusisha kuingiza number basi drag na uidrop hiyo pallete ya Number na uipeleke sehemu ya component Tree na litatokea neno editText, nenda sehemu ya property na utafute property ya Id na uipe jina lolote kwa hapa tutaita "amountEditText", kumbuka kila uongezapo component kwenye gridlayout linaenda kwenye cell nyingine mpaka ufanye setting ili na yenyewe itokee kwenye row ya 1(row 0) hivyo upande wa property tafuta layout:column andika 0 na row 0 kisha layout:columnCount andika 2, hapo tunakuwa tumemaliza components za row ya kwanza, next kuongeza component kwenye row zinazofuata.
View attachment 564867
564867
Tulipoishia Tuliweza kuweka sehemu ambayo inamwezeha mtumiaji kuweka namba na pia tuliweka sehemu yenye Text ambayo itakuwa na "hint" ya kumwambia mtumiaji ingiza kiasi. Zote EditText na TextViews zipo kwenye row na ikiwa na vipimo sawa vya column na muionekane unapaswa uwe kama hivi.
5-png.587397

Nitafafanua hatua zote mpaka za kupata hiyo interface na kisha tutaanza kufanya programming ya application.
 
mwaminifuhalisi

mwaminifuhalisi

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2017
Messages
323
Likes
290
Points
80
mwaminifuhalisi

mwaminifuhalisi

JF-Expert Member
Joined Feb 26, 2017
323 290 80
Kutoka kwenye picha hapo juu kuna "feature" inaitwa seekBar lakini pia imetanguliwa na text yenye namba 15 hii ni asilimia.
Kazi ya seekBar kwenye application yetu ni kuonyesha mabadiliko ambayo yanakuwa yanafanywa na mtumiaji pale aingizapo kiasi na ikishakukokotoa inatoa kiasi cha jumla au mtumiaji anai-move hiyo seekBar basi kiwango kiwe kinajionyesha kuendana na asilimia.
Lengo la app hii ni kufanya mahesabu ya bei ya bidhaa mtu alizotumia sehemu husika kama vile mgahawani kwa maana kila anapoingiza kiasi kilichotumiwa itaonyesha jumla na asilimia.

KUWEKA SEEKBAR PAMOJA NA TEXTVIEW
Row ya kwanza Tumeshamilizana nayo ambayo ina objects za EditText na TextView ambazo tumeziita amountEditText na amountTextView.

Layout ambayo tunayoitumia ni GridLayout ambayo ina rows na columns. Hivyo kuongeza interface ya TextView na seekBar ni kwenda kwenye upande wa Palete halafu shuka mpaka sehemu yenye "Medium TextView" idrag na kisha idrop kwenye upande Component Tree kulia kabisa kama picha ya post hapo juu inavyoonekana. na kisha ipe jina la percentTextView. ili kuipa jina hilo ama lolote ulipendalo nenda kwenye sehemu ya properties kwa chini kulia na tafuta property iliyoandikwa "text" kisha andika jina unalotaka ila kwa hapa naita percentTextView.

Baada ya kuweka percentTextView kwenye row ya pili column ya kwanza sasa tunaweka seekBar kwenye column ya pili ya row ya kwanza na tutaiita (percentSeekBar).

Nenda tena upande wa palete kwenye sehemu iliyoandikwa widget na ui-drag SeekBar na kisha uidrop baada ya percentSeekBar upande wa Component Tree. ili kuipa jina unalotaka hii object nenda kwenye sehemu ya property na uandike jina unalotaka, kwangu natumia "percentSeekBar).

Hapo tumeshamaliza kuweka views kwenye row ya 2, hatua inayofuata ni kuweka rows kwenye row ya 3 na ya 4.
 
mwaminifuhalisi

mwaminifuhalisi

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2017
Messages
323
Likes
290
Points
80
mwaminifuhalisi

mwaminifuhalisi

JF-Expert Member
Joined Feb 26, 2017
323 290 80
KUONGEZA VIEWS KWENYE ROW YA 3
Kutoka kwenye Picha #48 kwenye row ya nne ina neno Total na sehemu inayofuta ina rangi kama nyekundu fulani hivi, hapo ni sehemu ya kuonyesha jumla ya kiasi kilichoingizwa baada ya kukokotoa.

Lakini pia row ya tatu kuna neno tip na cell inayofuata ina rangi nyekundu ila si sana hapa ni sehemu ambayo itaonyesha kitu kama summary. Jinsi ya kuongeza hivyo havina tofauti na hatua zilizotangulia na unatakiwa ufanye ifuatavyo.

Nenda upande wa widget kisha drag na drop "Medium Text" kwenda kwenye Component Tree kisha nenda kwenye property ya text na uipe jina la "tipLabelTextView" ama jina lolote.

Halafu rudi tena upande wa widget na drag na drop tena "Medium Text" kwenda kwenye Component Tree window kama inavyoonekana kwenye picha post #48. kisha kwenye sehemu ya property nenda sehemu ya text na uandike "tipTextView" ama neno lolote ulipendalo.

Na kwa upande wa row ya 4 hatua ni za kama row ya 3,.........

Nenda upande wa widget kisha drag na drop "Medium Text" kwenda kwenye Component Tree kisha nenda kwenye property ya text na uipe jina la "totalLabelTextView" ama jina lolote.

Halafu rudi tena upande wa widget na drag na drop tena "Medium Text" kwenda kwenye Component Tree window kama inavyoonekana kwenye picha post #48. kisha kwenye sehemu ya property nenda sehemu ya text na uandike "totalTextView" ama neno lolote ulipendalo.

Hapo tutakuwa tumeshamzalisha kutengeneza prototype ya interface tunayooitaka kilichobaki ni kufanya configuration na kuipa majina views zetu kama zinavyoonekana kwenye post namba 48.
 
ABiClever Junior

ABiClever Junior

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2016
Messages
899
Likes
490
Points
80
ABiClever Junior

ABiClever Junior

JF-Expert Member
Joined Dec 14, 2016
899 490 80
hello niko na shauku ya kutaka kujua njia hii coz nimezoea kundengeza app kupitia website za watu kama vile www.Appgyser.Com na nyingine tofauti ila hii njia siijui kama hakuna watu wenye kuhitaji njoo ata tufundishane inbox
 
yusufmuro98

yusufmuro98

New Member
Joined
Sep 16, 2017
Messages
4
Likes
0
Points
3
yusufmuro98

yusufmuro98

New Member
Joined Sep 16, 2017
4 0 3
bro ninampango wa kutengeneza Android game...je unity 3d inahitaji programming language??
 
XK Entertainment

XK Entertainment

New Member
Joined
Sep 10, 2017
Messages
3
Likes
1
Points
5
XK Entertainment

XK Entertainment

New Member
Joined Sep 10, 2017
3 1 5
JavaScript is similar to C# however java ni tofauti kabisa, javaScript ni object based(inatumia references to call functions), java however is more similar to HTML . Unity3d inatumia C# na javaScript. I'm currently using C#
screenshot-16-png.597653
screenshot-61-png.597654
screenshot-64-png.597656
to create a game(Images below)
 
geesten66

geesten66

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2017
Messages
1,265
Likes
1,100
Points
280
geesten66

geesten66

JF-Expert Member
Joined Sep 14, 2017
1,265 1,100 280
Inawezekana kabisa kuunda app, lakini unaufahamu kuhusu QT framework ambayo hii pia hutumika kutengeneza app za android na inatumia c/c++?, lakini nakushauri chukua muda wako kujifunza JAVA kama unajua programming haitakushinda kujifunza JAVA ndani ya muda mfupi. lakini kama hutopenda kujifunza JAVA android wana kitu kinaitwa Native Development Kit ambayo utaweza kuunda app kwa kutumia c/c++, link ya sdk kwa ajili ya NDK hii hapa chini
NDK Downloads | Android Developers
Nazani unajua sana coumpyuta nataka tujaribu kufanya dili je upo tayari
 
billionea alpha

billionea alpha

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2014
Messages
728
Likes
219
Points
60
Age
24
billionea alpha

billionea alpha

JF-Expert Member
Joined Apr 10, 2014
728 219 60
Nipo
 
sultanseifu

sultanseifu

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2017
Messages
425
Likes
194
Points
60
Age
19
sultanseifu

sultanseifu

JF-Expert Member
Joined Aug 22, 2017
425 194 60
2312719-a6.jpg

Katika thread hii tutajifunza namna ya kutengeneza application za android "from the scratch", Japokuwa kuna "platforms" mbalimbali mtandaoni ambazo zinaweza kumsaidia mtu yoyote kuunda apps hata pasipo kuwa na ujuzi wowote kuhusu programming, hapa itakuwa ni tofauti.

Imani yangu wale wote ambao watakuwa na mwamko wa kujifunza kuunda apps za android ni kwamba wana ufahamu wa kufanya programming kwa kutumia JAVA ama OOP language yoyote na pia wana uelewa hata kidogo kuhusu xml (eXtensible Markup Language).

Mtindo ambao tutajifunza ni kwa namna ya ku-develop projects (apps) mwanzo mwisho, na tutakopofika ukingoni mwa mafunzo haya ningeomba tushirikiane kwa pamoja kuunda app ambayo itakuwa nzuri na kisha tuunde hata team ambayo tutaweza kuunda apps mbalimbali.

zifuatazo ni projects ambazo tutazifanya kupitia uzi huu.
1. Welcome App

2. Android Media Player

3. Tip Calculator App

4. Music Event App

5. Ubber Clone

6. Messaging App (Whatsapp Clone)

7. Flag Quiz App

9. Cannon Game App

10. Weather App

11. Media, Videos and Sound Apps

12. Instagram clone

Karibuni nyote.
 
Forum statistics

Threads 1,236,187
Members 475,029
Posts 29,249,172