Recent content by yusto michael

  1. yusto michael

    JamiiForums Tanzania Naomba uzoefu kwa wanaolima Bariadi

    Samahani mkuu ulikuwa umelimiako
  2. yusto michael

    JamiiForums Tanzania Naomba uzoefu kwa wanaolima Bariadi

    Wakuu habari, Mimi ni mmoja wa watu wanaovutiwa sana na kilimo na natamani sana siku moja niwe mkulima wa mfano; ombi langu kwenu kama kuna mtu humu analimia Bariadi mto simiyu namba anipe uzoefu wa upatikanaji wa mashamba ya kando kando ya mto. Mimi ninapatikana Mwanza. Ninatanguliza shukrani.
  3. yusto michael

    JamiiForums Tanzania Namna ya kuchangia faini ya Tsh. Milioni 350 waliyohukumiwa kulipa Viongozi wa CHADEMA

    Sirikali wanataka warudishe ghalama zilizotumika kwenye mazishi ya akwilina na kumsomeshea mdogo wake. Sent using Jamii Forums mobile app
  4. yusto michael

    JamiiForums Tanzania Upinzani Tanzania una matatizo? Vyama havina Succession Plan hivyo vina Usultani! CHADEMA kuna Usultani? Usultani huu Utakiinua au Utakiangamiza?

    Kwa wimbi hili lakuunga juhudi ni heri tu mbowe aendelee kuwa mwenyekiti maana yeye ameshajipambanua hayumbishwi.
  5. yusto michael

    JamiiForums Tanzania Vituko mitandaoni. Tupia chako

    Haaaa!
  6. yusto michael

    JamiiForums Tanzania Fahamu kuhusu kilimo bora cha Hiliki

    Ukitaka kufanikiwa kupitia sharti uwe na mtaji na uwekeze nguvu na hakili zako zote
  7. yusto michael

    JamiiForums Tanzania John Heche kukabidhiwa mikoba ya Dk. Mashinji?

    Good
Back
Top Bottom