Recent content by Yusto Bitalio

  1. Yusto Bitalio

    Ufanisi wa Bima za NHIF Tanzania

    Kwanza kabisa nianze kwa kuwapongeza watoa huduma za afya Tanzania, lakini kuna swala nimelishuhudia ambalo sidhani kama lipo sawa. Binafsi nilipatwa tatizo la macho, nikaenda hospitali (ipo Dodoma) nikawa nimeonana na daktari kwa kutumia bima ya NHIF ambayo mimi ni mteja wao. Nilionana na...
  2. Yusto Bitalio

    Wanaume mnaojitafuta anzisheni familia mkishajipata, mnaharibu maisha ya watu na kutengeneza single mothers wengi

    Unachosema ni kweli. Nadhani kama vijana ni mda wa kubadilisha mtindo wa maisha. Ila wazee wajitahidi kupunguza mahari vijana waoe. LOL 😁😃
Back
Top Bottom