Recent content by Yussufhaji

  1. Yussufhaji

    Malkia Elizabeth II na Afrika

    “UHUSIANO WENYE PANDE MBILI ZA SARAFU” 10/09/2022 Ukiniuliza kuhusu uhuisano wa Malkia Elizabeth wa Pili na Afrika basi nitakujibu kuwa ni uhusiano wenye pande mbili za sarafu, kwa upande wa kwanza wa sarafu umegubikwa na masuala tata kama:- Ukoloni; Hakuna shaka yeyote kuwa lawama za...
  2. Yussufhaji

    Fedha au Risasi

    "PLATA O PLOMO" 13/04/2022 Pablo Escobar, mlanguzi nguli wa madawa ya kulevya mwenye asili ya Colombia alikuwa akitumia maneno hayo mawili kuelezea njia anayoitumia katika kufanikisha biashara haramu za madawa ya kulevya. Neno Plata likiwa na maana ya "Fedha" na Neno Plomo likiwa na maana ya...
  3. Yussufhaji

    One year of presidency: I do believe, progress has been made!

    ONE YEAR OF PRESIDENCY: I do believe, progress has been made! 19/03/2022 Tanzania is commemorating one year since President Samia Suluhu Hassan took oath for presidential post, President Samia Suluhu Hassan entered Chamwino at a dark times and unprepared as she is reported by the media's, but...
  4. Yussufhaji

    Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Ninakubaliana na Ali Farag "KAMA UKRAINE INAZUNGUMZIKA, NA PALESTINA PIA INAWEZA KUZUNGUMZIKA" 19/03/2022 Binafsi kama mpenda amani na mwanaharakati wa kuenzi utu wa mwanadamu popote pale duniani, nimefarijika sana na kauli ya mwanamichezo wa Misri, Ali Farag mwenye asili ya Misri kuhusu...
  5. Yussufhaji

    One year of Presidency

    ONE YEAR OF PRESIDENCY: I do believe, progress has been made! 19/03/2022 Tanzania is commemorating one year since President Samia Suluhu Hassan took oath for presidential post, President Samia Suluhu Hassan entered Chamwino at a dark times and unprepared as she is reported by the media's...
  6. Yussufhaji

    Linapokuja suala linalogusa maslahi yao

    “MATAIFA MAKUBWA HUWA HAYANA SIMILE” 24/02/2022 Ni nani asiyejuwa kinachoendelea nyuma ya pazia la mapinduzi ya kila siku yasiokwisha Afrika ya Magharibi? Wangapi wamesahau kikosi cha jeshi la Ufaransa kilipovamia Ivory coast na kumtoa madarakani Laurent Gbabo pale alipo goma kumkabidhi...
  7. Yussufhaji

    Rwanda imetumia jiwe moja kuua ndege watatu kwa pamoja

    30/11/2021 Hatua hii ya Rwanda kuweka marufuku ya usafiri dhidi ya Afrika Kusini kwa kisingizio cha aina mpya ya kirusi cha Uviko-19 kinachojulikana kama "Omicron" ambacho kimegunduliwa nchini Afrika Kusini haishangazi, Rwanda inajua inachokifanya, inawezekana sababu ya awali ikawa ni kulinda...
  8. Yussufhaji

    Waafrika Kusini walikuwa wamechoshwa na sera za ubaguzi wa rangi

    sahihi kabisa, aweke data Sent from my SHV40 using JamiiForums mobile app
  9. Yussufhaji

    Waafrika Kusini walikuwa wamechoshwa na sera za ubaguzi wa rangi

    hhhhhhhh Sent from my SHV40 using JamiiForums mobile app
  10. Yussufhaji

    Waafrika Kusini walikuwa wamechoshwa na sera za ubaguzi wa rangi

    13/11/2021 Yafaa kusema wakati wa kipindi cha ukingoni cha Afrika Kusini na sera za ubaguzi wa rangi dhidi ya wasio weupe (wasio wazungu) watu wengi nchini humo ukijumuisha na baadhi ya hata wazungu wenyewe walikuwa tayari wameshachoka na sera hizo, Hatua kali zilizo chukuliwa dhidi ya...
  11. Yussufhaji

    Why Dr Mwinyi was my favourite candidate in 2020 Zanzibar election

    nope Sent from my SHV40 using JamiiForums mobile app
  12. Yussufhaji

    Why Dr Mwinyi was my favourite candidate in 2020 Zanzibar election

    06/11/2021 During 2020 Zanzibar elections, Dr Mwinyi was my number one favourites Presidential candidate, many friends of mine asked me a lot, why are you endorsing Dr Hussein Mwinyi??? Did he pay you??? Does his party "Chama cha Mapinduzi" payed you??? but i kept silent at the time, I had...
Back
Top Bottom