apa nina mamb mawili wadau naomba ushauri ..
nikimaliza clinical officer nipige kazi au niende bachelor y diatetics ???? na vp kuhusu soko la ajira kwa upande wa course zote mbili huko tanzania bara ??
nime get time nikaeview that cause ( science in food nutrition and dietetics ) .. for sure nimeikubal and I hope kusom hiyo lkn sijajuw kam serekal now inatow mikopo kwa sisi tuloisha diplom cause natk nikimaliz tu niunganishe ..
naomb msaad hap kidg
ila niliona wakat nathrough the prospect kuna bachelor of science in food , nutrition and dietetics ...
sijajua ina concern hasw na nn than nitakuw nani at the public ...
yeah sabb nahisi nitaingia kwenye majukumu baad ya CO i.e having family so niliona kwend chuo par time itakuw ngum kidog nd man nikatk kusom hapo than niko z'bar
aisee nami nina mpngo huo huo of handling first degree on medical course at open university .... but sielew kitu ..
I have somatic symptoms of autonomic arousal ... on that...
pleas msaada wadau unahitjik
SORRY ...
mm student wa afya CO niko zenji but this is third year .. nahope kudegree on dental surgery .. but natk kujuw hapo chuo UDSM ipo if ipo what entry GPA ..IF haipo what ipo na kw GPA gn
pleas help
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.