hapo umenena mzee, hata mimi uwa napenda kununua story ikiwa imekamilika. nalipa, unanipa mzigo tunamalizana. kuna jamaa mmoja alikuwa anauza story, nikajua imeikamilika! nikalipia; si nikashangaa katuma hadithi nusu. nikamuuliza, mzee mbona unatuma mzigo nusu?! akajibu, bado naandika. aliniboa...