hiyo ni kaz ya mahakama hata kama rais atakua lowasa hapaswi kungilia mhimili wa judiciary hivyo cha msingi peleken tu ushahidi ukiwa waz bila shaka watawajibishwa
unadai hiyo ni siku 1 sikumbuki ni jukwaa lipi walipanda wasanii hao wote
hata hivyo kila chama kina vyanzo vya mapato na sheria ya gharama za matumiz ya kampeni ipo wazi so hata usiwaze
bila shaka ishauliza gharama ya kukodi helkopta ya cdm na pia ushapiga hesabu ni sawa na madawati mangapi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.