Recent content by Yung_sammy

  1. Yung_sammy

    Wakulima wa vanilla Kagera kutapeliwa na kampuni ya SOSAKA

    Tanzania[emoji23] saiv wana siasa wankwambia mbaazi lima sasa
  2. Yung_sammy

    Wauza mchele, weka changamoto zenu hapa tusaidiane kuzitatua

    na hiyo ya kati ni 2050 mpka 2100 sas ikipig mhesabu ulete mpk boma duuh
  3. Yung_sammy

    Wauza mchele, weka changamoto zenu hapa tusaidiane kuzitatua

    mmh bei yako iko chin man shamban tuuh ndo hiyo bei unauzwa ten grade one ni 2200
  4. Yung_sammy

    Wauza mchele, weka changamoto zenu hapa tusaidiane kuzitatua

    mfano wew ndo unaletew huo mchele unanunuaj kwa kilo ? je unlipia cash au ndo mpka uuze? je ni grade gan ya mchele ambyo unanunua au inatembea san huko moshi? na kma unaletew more than tani tano man huwez safirish tano tano ni hasara atleast ton kumi kwa fuso au 15 kwa tandum unauwezkan wa...
  5. Yung_sammy

    Maeneo yapi yana vibe kwa Iringa?

    Nelly katek soko la nyama mchan pale[emoji91]
  6. Yung_sammy

    Maeneo yapi yana vibe kwa Iringa?

    Asas 1000 ila Mt ni 1100 jpo mt inbid upelekee kule ipogoro asas unawek main road ya iringa kalenga kubagari huwa inpita kuchukua kila jion
  7. Yung_sammy

    Maeneo yapi yana vibe kwa Iringa?

    Nikweli ila miji mikubwa hasa dar kuna stareh za kila ain watu weng huko tyr ufulska ni mwingi sema ndo ivo wantembea na mwavuli wa kuwa ni jiji la kibishara sem n hatar kulik hata mikoa taja sijue njoruma na mbeya
  8. Yung_sammy

    Maeneo yapi yana vibe kwa Iringa?

    Kwa iringa labda uchukue mazao upelek nje ya mkoa mfano dar na Dodoma hasa maharage na mahindi kwa sasa pesa ipo hapo ila kuhusu biashara iringa mjini ni ngumu labda uende Mafinga kidogo mzunguko wa pesa ni mkubwa sana hasa ukifugua biashara ya spare za malori pia uzaji wa vinywaji vya jumla...
  9. Yung_sammy

    Maeneo yapi yana vibe kwa Iringa?

    Pale hapana aisee usipo jua bei za vinywaji utalizwa sana bora miam wan menu ipo karibia kila table
  10. Yung_sammy

    Maeneo yapi yana vibe kwa Iringa?

    Saa kumi na moja mpka kumi na mbili ni za Mbeya japo nying hutak ulipie nauli ya mbeya hata kam unfika iringa jpo saa sabu unkuwa umefika-za Iringa nying hutega wateja ndo man ningumu kuona zinawah ondok
  11. Yung_sammy

    Maeneo yapi yana vibe kwa Iringa?

    Si kwel mkuu sample inayotumika kutoa takwim za ukimwi isiwafumbaze Sample inayotumia mikoa yote tanzania nimoja tuh hujawah jiuliza wah kila siku mikoa ya watu wachache ndo ipo juu all in all ukimwi upo kwote so take care
  12. Yung_sammy

    Maeneo yapi yana vibe kwa Iringa?

    Sema royal wahudumu ni wez kinoma kupandisha bei za vinywaji ni kawaida sana
  13. Yung_sammy

    Maeneo yapi yana vibe kwa Iringa?

    Ally said ndo pendwa kidogo japo zinatembea mda mrefu Dar ikitoka saa moja iringa hufika saa kumi jioni pia newforce ameanza safari nae ya Dar to Iringa unawez lijaribu pia
Back
Top Bottom