Recent content by Yukeyuke

  1. Y

    JamiiForums Tanzania Baada ya Mwandishi Manyerere Jacton kueleza kinachoendelea Ngorongoro, sasa ndio naiamini Serikali, Wanahama kwa Hiyari

    Bwana Yesu Kristo alisalitiwa na akauzwa kwa vipande 30 vya fedha.
  2. Y

    JamiiForums Tanzania Rais Samia awasili kwa Jeddah kuhiji

    Midamu ilishindikana amirata nayo haijatty haitawezekana. Binadamu ni viumbe wanafiki mno.
  3. Y

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Ndoto yangu ni kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Huyu atakuwa rais kama Mungu anao mpango wa kuliadhibu taifa hili la Tanzania. Wala hatapakwa mafuta atakuwa kama walivyokuwa wakina nebukaridezar au dario.
  4. Y

    JamiiForums Tanzania Matunda ya Helicopter ya Nape Nnauye

    Ama kwa hakika mizigo ni mingi Mungu asaidie kuitua. Mitaa ya mizigo hiyo.
  5. Y

    JamiiForums Tanzania Mapokezi ya Kinana ni habari nyingine huko Pwani, Watu mamia wakanyagana

    Jioni patakuwepo futari ya chama bila shaka.
  6. Y

    JamiiForums Tanzania Kipi kilichomchosha Mungu mpaka akapumzika siku ya saba?

    Alipokuwa kaburini siku ya sabato Bwana Yesu hakupumxika. 1Petro3:18-20.
  7. Y

    JamiiForums Tanzania Kipi kilichomchosha Mungu mpaka akapumzika siku ya saba?

    Mathew 24:6-12 & 1John 2:18
  8. Y

    JamiiForums Tanzania Kama January Makamba ana mpango wa kugombea Urais 2030, namshauri akabatizwe kwa maji mengi mapema

    Huko kulikuwepo usafiri wa vifodi vya noah enzi hizo?
  9. Y

    JamiiForums Tanzania Orodha ya Wakurugenzi wa Usalama wa Taifa Tanzania "TISS" Tangu uhuru

    Siangeimwaga baharini kama sukari na uhujumu uchumi wa Sokoine.
  10. Y

    JamiiForums Tanzania Ni nani yuko nyuma yao?

    Vilevile ni yanga lialia.
  11. Y

    JamiiForums Tanzania Ni nani yuko nyuma yao?

    Oysterbay gas station ni ipi hiyo?
  12. Y

    JamiiForums Tanzania Jarida la Muslim 500 lamtaja Rais Samia kama Mwanamke wa mwaka mwenye ushawishi mkubwa kwa 2022

    Kudura alivyosema Mh Gambo. Gelegele wakae mkao wa kutumbuliwa. Awamu hii ya chanjo na kuupiga mwingi imenifanya nigundue wasukuma legelege wanapatikana.
Back
Top Bottom