Recent content by Ysha

  1. Y

    Maandamano baridi na Legal and Human Rights Centre, Salender Bridge

    Nimeamini mabadiliko kwetu watanzania ni ndoto... inakuwaje wana JF mnatukatisha tamaa wanaharakati? TUMETHUBUTU NA TUMEWEZA, SASA TWASONGA MBELE...! Tunajipanga tena na kesho tunaendelea hadi kieleweke!
  2. Y

    Mazishi ya Mh. Regia Mtema huko Ifakara (updates)

    it is too sad. Namkumbuka those days at Forodhani. RIP Regia
  3. Y

    kwa waliosoma Darajani (Gilman Rutihinda) Shule ya msingi pale Kigogo

    duh, umenikumbusha mbaaaaaaaaaali... ilikuwa lazima saa 12:30 ushafika shule na saa12 jioni ndio tunatoka, halafu ole wako huyo 12:30 hujatia miguu yako getini. Kimangano alikuwa anatuita ofisini kila j3 after assembly na kuulizza feedback ya mtihani wa jumamosi. tena kwa lugha laiiiiiiiiini na...
Back
Top Bottom