Recent content by ypembe

  1. ypembe

    JamiiForums Tanzania Wasifu (CV) wa Freeman Mbowe huu hapa...

    Haisaidii tena si njia sahihi ya kumchafua mtu.
  2. ypembe

    JamiiForums Tanzania Madhara ya kula nyama ya Nguruwe/Kitimoto kwa afya yako...

    Acha kula mdudu haramu! Cmnyama wa kawaida. ictishe anableed. Hahaaaaa
  3. ypembe

    JamiiForums Tanzania CCM yatoa miezi 6 kwa waziri wa Elimu kujiuzulu....Vinginevyo itamtimua kwa nguvu

    Ujinga ujingani. walimu wetu tunawanyanyasa vya kutosha, tunawadhalilisha sana, tunawadharau kupindukia. Tuendelee kutekeleza ilani za chama
  4. ypembe

    JamiiForums Tanzania CCM yatoa miezi 6 kwa waziri wa Elimu kujiuzulu....Vinginevyo itamtimua kwa nguvu

    Inakatisha tamaa; si rahisi kupata matokeo mazuri endapo hujawekeza. Adaiwae hana kauli kwa mdai. Serikali imeiweka rehani elimu na walimu wake. brn~madeni.
  5. ypembe

    JamiiForums Tanzania Shirikisho EAC janja ya nyani!

    Kama vip tujiunge na SADEC. wakubanana nae anakuwa 1 tu Malawi.
Back
Top Bottom