Nimejaribu kupitia mawazo ya watu mbalimbali kuhusu biashara ya stationery, nimegundua kuelekezana na kukosoana ni jambao la msingi sana kwenye maisha, binafsi napenda kujifunza kile nisichokijua kwa wale walionitangulia katika jambo husika. Nitoe shukrani zangu za dhati kwa wale wote...
Awali ya yote npende ktanguliza salamu, kwa yeyote mwenye connection za biashara za nafaka hasa mahindi, yaani nahitaji kuwa mnunuzi wa jumla kwa sehemu kama Geita, Rukwa na Shinyanga
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.