Vitabu zifuatavyo vinapatikana na vitaweza kukusaidia kwa kiasi kikubwa kupata elimu ya fedha na uwekezaji.
1. Increase your Finanncial IQ by Robert Kiyosaki
2. School of money by Olumide O Emmanuel
3. Cash flow Quandrant by Robert Kiyosaki
4. Guide to Investing by Robert Kiyosaki
5. Rich Dad...
Vijana wameanzisha mobile app ya kujifunza kuhusu masuala ya uwekezaji, App hiyo inapatikana play store.
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.wapnum.yiflms
Hisa ni nini?
Hisa ni sehemu ya umiliki wa kampuni. Hivyo hisa inawakilisha asilimia fulani ya umiliki katika kampuni. Kama kampuni ina hisa milioni moja na mwekezaji (mwanahisa) anamiliki hisa 100,000 mwekezaji huyu anamiliki 10% ya kampuni. Mwekezaji anayenunua hisa basi ananunua haki ya...
Habari wana JF
@ Soko la hisa, UTT AMIS na Hatifungani
CRDB Bank PLC ni kampuni mojawapo iliyoorodheshwa hisa zake katika soko la hisa la DSE.
Hisa za CRDB zimekuwa zikifanya vizuri katika soko la hisa la DSE kwa urahisi wa kuuza au kununua, mabadiliko ya bei na kutoa gawio wa wanahisa wake...
CONSIDERATIONS FOR 2021
________________________________
@Soko la hisa, Utt AMIS na Hatifungani
1. ON EARNING:
Never depend on single income. Make investment to create a second chance.
_________________________________
2. ON SPENDING:
If you buy things you do not need, soon you will have to...
Habari za muda wana JF,
Binafsi ninataka kusajili blog inayotoa elimu kuhusu biashara. Nikaenda TCRA kwa ajili ya kusajili, nikajibiwa hadi niwe na kampuni ndio naweza sajili blog na sio mtu binafsi. Pia ninatakiwa kulipia tsh 1000,000 kila mwaka kwa ajili ya leseni.
Sasa nikawa najiuliza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.