Recent content by younggizzo

  1. younggizzo

    Msaada: Nimepima presha ipo juu

    Pole sana, ila sio ya kukutishia sana. Zingatia ushauri wa Doctor.
  2. younggizzo

    Unawezaje kuishi na mwanamke wa namna hii?

    Pole sana aseee, 😢 mimi siwezi ningeshamuacha kama ndio tabia yake tangu tunajuana
  3. younggizzo

    Nilikuwa nahitaji kufahamu ofisi za bolt ziko wapi maana nimesikia wamerudi

    Wapo Ursino. Mataa ya Morocco kama unaenda ubalozi jengo la kwanza kulia kwako baada ya mataa.
Back
Top Bottom