Mwenye hicho kitabu anitafute inbox ninazawadi yake, Dr Dyaboli hapatikani hewani,whatsap wala kwenye email hareply sms,
Hivyo mwenye hicho kitabu nina zawadi yake hapa, njoo inbox
Unajuwa nimewahi hapa ndani ili nijue kuhusu hisa, wapi papo pouwa kununua hizo hisa, analysis makini ulizozifanya na kwa kuwa unazaidi ya miaka 2 ushakuwa mzoefu unaweza kutunyambulia faida kamili ya hisa (may be minimum ni % ngapi ya nilichokiweka kitakuwa faida)
Ukifanya hivyo itakuwa pouwa...
Ofcoz ili watanzania tuendelee kiuchumi ni muhimu tupeane makavu live bila kupepesa pepesa macho wala kubwabwaja bwabwaja maneno au kuandika msururu wa maelezo angalia hichi angalia hichi..
Me ata nikiangalia effect yake naijulia wapi by then ndio first time naiona
(Ishu watu washushe broker...
Kwa awamu yenu,mfumo umekuwa wa tofauti kiasi cha kuwa wale waliopo vyuo vikuu pamoja na wazoefu wa haya mambo kuwa na maswali ya kujiuliza. Nn kitatokea kama mtu hatachaguliwa
Ila kwa tetesi za chini kwa chini,inasemekana huu mfumo umeanzishwa ili kuwepo kwa first selection tuh.
Na kila aliye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.