Sikia hi wasukuma watatu walifunga gerezan mlinz akawa analinda..jamaa wakataka kutoroka..ikawa iv
1:puuuuh akakimya
mlinz: nan
1:akajibu "nyau"
2:puuuh..
mlinz:uyo nan
2:nyauuuuu..
3:puuuh
mlinz:iv uyo nan
3:akajibu si nyau bana
ha ha ha ha ha
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.