Recent content by young believer

  1. Y

    JamiiForums Tanzania Ticha gani wa twisheni ulikuwa unamkubali sana

    mgote noma notes kama vitabu
  2. Y

    JamiiForums Tanzania Mliochaguliwa NIT tukutane hapa

    chuo kinafunguliwa kesho njoo chuoni
  3. Y

    JamiiForums Tanzania Hostel nje ya chuo cha NIT

    hostel zipo mimi pia nimechaguliwa hapo kuna 50,000 kwa mwezi mtaa unaitwa jitegemee kama vp nicheki humu 0719721910
  4. Y

    JamiiForums Tanzania Karibu Chuo cha Taifa cha Usafirishaji, Mabibo

    kwa ninavyoelewa ni mafundi wa magari kwani umechaguliwa hiyo?
  5. Y

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu aircraft maintanance Engineering

    hamna yeyote aliyechaguliwa hii coz tushauriane? au anayejua heslb humu kuwa heslb watatoa kiasi gani
  6. Y

    JamiiForums Tanzania NIT dar, joining instructions!

    nenda chuo kachukue
  7. Y

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu aircraft maintanance Engineering

    certificate and ordinary diploma ipo na mwaka wa kwanza 4,035,000 mwaka wa pili 4,035,000 mwaka wa tatu 4,085,000 na hizi ninazotoa ni direct payment to the institute tu bado direct payment to the stutent hatari kwa diploma ukizichanganya mwaka wa kwanza 8,256,800 na kwa bachelor unapata...
  8. Y

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu aircraft maintanance Engineering

    wewe utakuwa mwongo tu lazima coz ndio inatarajia kuanza mwaka huu na mm ninechaguliwa hapo ndio tutakuwa wa kwanza hapo
  9. Y

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu aircraft maintanance Engineering

    wewe unaisomea wapi kama NIT ndio inaanza mwaka huu
  10. Y

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu aircraft maintanance Engineering

    yani hatari sana isitoshe ni chuo cha serikali pia katika tangazo la hiyo coz walisema wamepunguza gharama sasa kama wamepunguza ndo hiyo je wasingepunguza sijui ingekuwaje mm nimechaguliwa hiyo ndio naisubiri heslb
  11. Y

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu aircraft maintanance Engineering

    Nani ana uelewa wa hii kozi ya aircraft maintanance Engineering, mbona ada yake kubwa sana pale NIT na hivi HESLB itatoa kiasi gani? Kwani ni mpya na mwaka wa kwanza tu ada ni 10,450,000
  12. Y

    JamiiForums Tanzania Karibu Chuo cha Taifa cha Usafirishaji, Mabibo

    jamani nani ana uelewa wa hiii coz mpya ya aircraft maintanance Engineering mbona ada yake kubwa hivyo na je heslb watatoa kiasi gani?
  13. Y

    JamiiForums Tanzania Karibu Chuo cha Taifa cha Usafirishaji, Mabibo

    nani anauelewa wa malipo ya hii coz mpya ya aircraft maintanance Engineering mbona ada yake kubwa sana hivi heslb watatoa kiasi gani?
Back
Top Bottom