Recent content by You Owe You Pay

  1. You Owe You Pay

    JamiiForums Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Ni idea great sana kusema kweli, tuisome kwanza tuelewe maana ulianza vizuri sana aiseee ila mwishoni ndio umekanyaga tope kwelikweli.. Hahahaaaaa pole mtani. Maana hapo uliposema umeahirisha safari ya mwaliko wa world bank eti kwasababu unasajili, ni kama wale watu wa network marketing kila...
  2. You Owe You Pay

    JamiiForums Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Swali moja dogo tu, hawa brokers ni wewe utatutafutia na tuwe na options au aliyepo ndio atafanya kwa watu wote?? Hofu yangu ni kwamba monopoly inapunguza aggressiveness. Lingine ni kuhusu usajili, naona wewe unahangaika kusajili umeshindwa kwenda kwenye jikutano kubwa kabisa (kama ni kweli...
  3. You Owe You Pay

    JamiiForums Kwa watanzania wapenda michezo, my condolences..

    Salaam wana JF Kwa siku kadhaa sasa kumekuwa na gumzo kubwa juu ya ‘pointi 3’ za Simba Sports Club alizopewa baada ya kushinda malalamiko (na sio rufaa kama inavyopotoshwa) dhidi ya Kagera Sugar baada ya kumchezesha bwana Fakh anayedaiwa kuwa na kadi tatu za njano. Awali ilielezwa kwamba kadi...
  4. You Owe You Pay

    JamiiForums Malinzi afanya fitna, Ndimbo afukuzwa kazi Times fm

    Duuuuh.. Hatari sana mkuu ! Hapa wanatafutana wakati huu wa uchaguzi. Na kama ni kweli zile sauti ni zao basi hata Malinzi ataondoka na maji
  5. You Owe You Pay

    JamiiForums Malinzi afanya fitna, Ndimbo afukuzwa kazi Times fm

    Ile kesi ya kina Matandika imekatiwa rufaa??
  6. You Owe You Pay

    JamiiForums Malinzi afanya fitna, Ndimbo afukuzwa kazi Times fm

    [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
  7. You Owe You Pay

    JamiiForums Malinzi afanya fitna, Ndimbo afukuzwa kazi Times fm

    Sema Times nao hawasikiki sana, wamejificha
  8. You Owe You Pay

    JamiiForums Malinzi afanya fitna, Ndimbo afukuzwa kazi Times fm

    Nadhani kwasababu anaelekea kwenye uchaguzi
Back
Top Bottom