Recent content by yota

  1. yota

    Ni psychological problem au nature au ni kawaida? Msaada jamani

    Hilo tatizo linatokana na msongo wa mawazo man...punguza kuwaza sana and sometymz fanya mazoez ya mwili..me nahic itakusaidia
  2. yota

    Naomba kuelimishwa: Wanyama wanaozaa nao hupata hedhi?

    Yes wanyama wote walioko katika kundi la primates i mean wale wanaozaa na kunyonyesha wanaexperience iyo kitu sema kwa binadam wanaita menstruation cycle but kwa wanyama wengine inaitwa oestrous cycle..
  3. yota

    Pundamilia wa tofauti azaliwa hifadhi ya Maasai Mara

    Ni sawa coz uyo pundamilia aliyezaliwa ana mistar michache yenye rangi nyeupe so iyo rangi nyeusi imekua dominant compared to pundamilia wengine ambao mistar ya rangi nyeupe ni ndo dominant..mamb ya Gene Expression ayo
  4. yota

    Diary ya Mtanzania: Mambo 30 ndani ya hii miaka minne aliyoyatunza mtanzania moyoni mwake

    Ndugu mlitaka mfanye nn sasa uwo ndo wajibu wa serikali lakn je mnafuata haki za raia wenu???
  5. yota

    RUAHA CATHOLIC UNIVERSITY

    Mmmh RUCU ni chuo ila sio chuo bora ndugu ila nenda ukasome tu utafnyje sasa
Back
Top Bottom