Hivi, siku zote hizo Bwana Kikwete alikuwa anasubiri tar 5 Feb kuwaeleza Watz uhusiano wake na dowans. Sasa kama Rais mwenyewe hajui wamiliki, sasa nani ajue? Wale wa Ngeleja walitoka wapi? I don't think tuna rais imara. Hivi baraza la mawaziri halikukaa wakati wa Richmond? Nani mwenyekiti...
Mie si mwanachama wa chama chochote lakini kama hizi habari ni kweli zitaiweka CCM pabaya zaidi na hata Makinda atapata wakati mgumu wa kuongoza bunge. Hii inaweza kuipa Chadema nguvu zaidi ikiwa watakimbilia kwa wananchi itakapotokea hoja zenye mvuto na maslahi ya umma zitakapotupwa kwa utashi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.