Recent content by Yonex

  1. Y

    JamiiForums Tanzania Muongozo wa kununua vifaa vinavyotumia processor za intel

    Chief mkwawa Binafsi nikushukuru sana kwa elimu hii adimu sana Naomba nisaidie kwenye hii uwezo wake ukoje
  2. Y

    JamiiForums Tanzania Muongozo wa kununua vifaa vinavyotumia processor za intel

    Boss kwemaa aise samahani Hii imekaaje kaka iko vzr?
  3. Y

    JamiiForums Tanzania Muongozo wa kununua vifaa vinavyotumia processor za intel

    Mkuu samahni na nashukuru kwa elimu tamu kam hii Ila swali langu je ni kivipi naweza ku piga window mashine yangu. Je kama kuna data zinazotumika nazipataje?
  4. Y

    JamiiForums Tanzania Muongozo wa kununua vifaa vinavyotumia processor za intel

    Thanks sana ila je umesema core 2 duo zipo za kizamani je nitagunduaje?
  5. Y

    JamiiForums Tanzania NMB Tanzania Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Naomba kujua vipi vigezo muhimu vya kufungua a/c
  6. Y

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli maambukizi ya COVID-19 yamepungua nchini au ni propaganda tu?

    Corona ipoo jmn cha msingi ni kumuomba mungu atuepushe ndo cha msingi izooo blaa blaa nyingine sio kwa sasa kwani muda wa kumuomba mungu kwani ndo anayejua hatma ya huu ugonjwa
Back
Top Bottom