Recent content by Yona simon ngwatu

  1. Y

    JamiiForums Tanzania Kuna mtu alishafanyaga interview Mbeya University kama Tutorial Assistant kwa upande wa Electrical Engineering?

    Kuna mtu alishafanyaga interview Mbeya University kama Tutorial Assistant kwa upande wa Electrical Engineering?
  2. Y

    JamiiForums Tanzania Interview ya ufadhili wa masomo inayotolewa na BoT ikoje? Huwa inakuwa na maswali ya aina gani?

    Je, kuna mtu humu ndani alishawahi kufanyaga interview ya ufadhili wa masomo inayotolewa na Bank of Tanzania (BoT)? Kama umeshawai kufanya ni maswali yapi huwa wanapendelea kuuliza? Kwa anayejua anisaidie.
  3. Y

    JamiiForums Tanzania Msaada: Interview ya ufadhili wa masomo inayotolewa na BoT ikoje? Huwa inakuwa na maswali ya aina gani?

    Rudia kusoma swali lako ulioniuliza afu angalia jibu nililokujibu.
  4. Y

    JamiiForums Tanzania Msaada: Interview ya ufadhili wa masomo inayotolewa na BoT ikoje? Huwa inakuwa na maswali ya aina gani?

    Je, kuna mtu humu ndani alishawahi kufanyaga interview ya ufadhili wa masomo inayotolewa na Bank of Tanzania (BoT)? Kama umeshawai kufanya ni maswali yapi huwa wanapendelea kuuliza? Kwa anayejua anisaidie.
  5. Y

    JamiiForums Tanzania Askari Polisi mwenye fani anapokea mshahara kiasi gani?

    Wewe ndo huna kazi ... Nani kakuambia mimi sina kazi... Auna jibu lolote unalopoka kama dada ako tu ... Sanyingine mtu anauliza ku compare masilahi tunachojali ni pesa wapi zipo nyingi ata kama ingekua n wewe ungeuliz...tatizo tanzania yetu imejaza wajinga weng kama wewe na awapungui...
  6. Y

    JamiiForums Tanzania Askari Polisi mwenye fani anapokea mshahara kiasi gani?

    Ujue sometimes mtu unauliza u compare masilahi uezi kwenda kwenda kuna watu n wajuzi wanajua ila sas majinga kaka n mengi ...unauliza limtu linajibu kama lilevi 😂😂😂😂
  7. Y

    JamiiForums Tanzania Askari Polisi mwenye fani anapokea mshahara kiasi gani?

    Bora ata umemuambia yani izo akili zake mm naonaga wadada na wamama ndo wanazo nashangaa kuziona kwa watoto wa kiume yani mtu anaongea kama kakatwa kichwa ... Yani mtu kama ajui jibu anajiongelea tu ilimlad na yeye aonekane ali comment kama lijinga tu 😂😂😂
  8. Y

    JamiiForums Tanzania Askari Polisi mwenye fani anapokea mshahara kiasi gani?

    Asante bro... Tanzania tungekua na watu kama ww tungefika mbali ...sana ... Saiv tumejawa na tanzania ya walopokaji tu yan kuna watu kax yao n kuingia na kulopoka tu kwenye maswali ya watu... Yan unakuta alinaga lolote linalofanya umu n ku comment ujinga tu 😂😂
  9. Y

    JamiiForums Tanzania Askari Polisi mwenye fani anapokea mshahara kiasi gani?

    Ona uyu nae 😂😂😂 kama vile yupo kichwani mwa mhusika 😂😂😂 kama jinga tu
  10. Y

    JamiiForums Tanzania Askari Polisi mwenye fani anapokea mshahara kiasi gani?

    Bro sikuiz 😂😂😂 kuna manaume kama mamama mtu ameuliza lingine linakuja linalopoka kama jinga 😂😂😂 mwingine unakuta yupo private anauliza acompare masilahi ... Lingine linafika linabwabwaja ...ndo tanzania yetu hii kaka yamejaa malopokaji kama manamake 😂😂😂 tuwaaache tu
  11. Y

    JamiiForums Tanzania Askari Polisi mwenye fani anapokea mshahara kiasi gani?

    Ona ili nalo linakurupuka kama lipo usingizini ... Kama limebanwa kunya ... Tatizo watu wa umu baadhi mmeshazoea kuropoka ropoka kama wanawake amnaga la kujib kama uwez kujib siutulize tako 😂😂😂 acha wenge bro soma elewa jibu kama unaweza kama uwez kitulize
  12. Y

    JamiiForums Tanzania Askari Polisi mwenye fani anapokea mshahara kiasi gani?

    Tatizo lako ushazoea kuropoka kama mwanamke 😂😂😂 mm meuliza sijasema naomba kulaumiwa 😂😂 muwe mnakuwa
  13. Y

    JamiiForums Tanzania Askari Polisi mwenye fani anapokea mshahara kiasi gani?

    Naomba kufahamu kuhusu mshahara wa mtu aliyeajiriwa kama Polisi ila mwenye taaluma ya fani ya uhandisi( engineer). Je watu hawa wanalipwa shilingi ngapi? Na mpangilio wa posho umekaaje? Anayejua please 🙏🙏🙏
  14. Y

    JamiiForums Tanzania Askari Polisi mwenye fani anapokea mshahara kiasi gani?

    Mfano ndo umemaliza chuo ukajiunga na unafan katika uhandisi apo inakaaje
Back
Top Bottom