Recent content by yola

  1. Y

    JamiiForums Tanzania Hii kitu ya mabasi yote kuhamia stendi ya Magufuli imeumiza wengi

    Sababu za kipumbavu sana 😏
  2. Y

    JamiiForums Tanzania Mchepuko wangu kaolewa, haya maumivu sijui nifanye nini

    Na wake zenu wanafanyiwa ivyo ivyo na watu wao wa zamani karma is real
  3. Y

    JamiiForums Tanzania Je, tofauti na kuishi milele ni kitu gani kingine sisi wakristo tutapewa?

    Sio kufananishwa nakupa tu mfano, kuna andiko linasema je baba anaweza kuombwa mkate na mwanae akampa jiwe? La hasha, je si zaidi baba yenu wa mbinguni, ukiombacho unapewa sawasawa na mapenzi yake, huo ni mfano kuwa yanayofanyika dunian kwa MUNGU ni vile ila ni zaidi, ukimpa mtu kitu akashukuru...
  4. Y

    JamiiForums Tanzania Je, tofauti na kuishi milele ni kitu gani kingine sisi wakristo tutapewa?

    Kwa iyo ata mtoto uliyomzaa wewe, afanye anavyotaka sababu umemzaa hukulazimishwa kumzaa? Imagine anafanya visivyokupendeza utafurahi tu
  5. Y

    JamiiForums Tanzania Je, tofauti na kuishi milele ni kitu gani kingine sisi wakristo tutapewa?

    Mtajutia maneno yenu siku moja nyie jimalizeni tu
  6. Y

    JamiiForums Tanzania Je, tofauti na kuishi milele ni kitu gani kingine sisi wakristo tutapewa?

    Dah hakika MUNGU ana uvumilivu sana
  7. Y

    JamiiForums Tanzania Je, tofauti na kuishi milele ni kitu gani kingine sisi wakristo tutapewa?

    We unachekesha kweli kwa iyo unafikiri ukifa uko mbele bado utakua mwanaume, afu MUNGU hana dini ameweka mpango wake ambao wote watafata bila kujali muislam, mkristo wala dini yoyote
  8. Y

    JamiiForums Tanzania Mnaosema wanawake wengi kushinda wanaume duniani, hizo data mmezitoa wapi?

    Kwann wanaume mnang'ang'ania kuwa wachache?
  9. Y

    JamiiForums Tanzania Ni bora mwanaume anayenunua kuliko anayehudumia

    Mpaka mwanamke kufikia hatua iyo ujue kashajipanga, ninayo mifano , wanaendelea na maisha vzr tu hakuna kelele, maana utalia mpk lin wakat mwanaume yeye furaha yake ni nje sio familia aliyoitafuta mwenyew
  10. Y

    JamiiForums Tanzania Ni bora mwanaume anayenunua kuliko anayehudumia

    Ndio maana wanawake nao wanatafuta mtu nje wa kumpa faraja kimya kimya, zaman nilikua nashangaa, lkn kwa mtazamo wako huo kama mwanamke huna hofu ya MUNGU lzm uwe nae nawew nje, maana kila siku kilio ndani mume anakusaliti inafika mahali unafuta machozi unaangalia maisha mengine,
  11. Y

    JamiiForums Tanzania Ni bora mwanaume anayenunua kuliko anayehudumia

    Dah mimi kama mke nimepata uchungu sana hii comment yako,
  12. Y

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu wakristo, mke mmoja anatosha?

    Dah bora kumbe kuna wanaume wana Dah bora kumbe kuna wanaume sio wabinafsi wanafikiria mwanamke anavyojisikia kwa iyo situation, wanaume wengi wangefikiria ivyo labda wangepunguza kuumiza wanawake, maana ni maumivu mno
  13. Y

    JamiiForums Tanzania Nifanyeje? Upweke unatafuna moyo wangu vibaya mno

    🤣🤣🤣🤣🤣
  14. Y

    JamiiForums Tanzania Nimekuja kujua kwamba wife kanisaliti mwaka jana mwanzoni

    Kumbe na yeye mchepukaji, sasa anaumia nini, ngoma droo
Back
Top Bottom