ZANZIBAR NI NCHI ILA TANGANYIKA NI SEHEMU YA JAMHURI WA MUUNGANO. TANZANIA IPO WAPI?
Katiba ya zanzanibar inaitambulisha zanzibar kama ni nchi, wananchi na viongozi wao wameapa kuilinda. Katiba ya muungano inasema zanzibar si nchi ila ni sehemu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Tuache...
Walikuahidi ubunge viti maalum jamani... pole Magamba wanajijua wenyewe bana, we imba mziki tu.....ila kwa sababu chama chochote cha siasa mtaji wake mkubwa ni wanachama ninaimani watakukaribisha tena. CHADEMA ni makamanda wa ukweli.
Ndugai anafikiri kuwa na wabunge wanaosinzia bungeni ndo demokrasia ya kweli, amekwisha huyoooo...ajaribu kuangalia hata mabunge ya ukraine na hata kenya, hoja zinapita kwa mbinde.. sio wanachakachua then wanaunga mkono mia kwa mia...
karibuni sana sana njombe mjini, ninaimani makamanda wataamini kuwa njombe ni CHADEMA pure, na hili lilithibitika 2010 pale ambapo Dr slaa alishinda kwa kishindo dhidi ya kikwete kwa njombe mjini tu. Huyo makinda kama si kutomwekea mpinzani mbona leo angekuwa kama mwenzie mangula kule alikokuwa...
Wanachma na wadau wa CHADEMA SUA main campus , jana wamefanikiwa kuwachagua makamanda wao wa CHASO , Viongozi mbalimbal kutoka wilayani na mkoani walihudhuria , uchaguzi huo ulisimamiwa na mwenyekiti wa CHASO mkoa wa Morogoro kamanda KAGOSE wa chuo kikuu JORDAN.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.